Activity Report

๐†๐Ÿ“€๐‹๐ƒ๐„๐๐Ÿ’ฐ
๐†๐Ÿ“€๐‹๐ƒ๐„๐๐Ÿ’ฐ
@barnabaclassic
Followers: 5,461,919Posts: 227Following: 1,893
Musician | Songrwiter | Live Performer Booking: barnabamanagement@gmail.com #๐’๐€๐‹๐€๐Œ๐€ VIDEO ๐ŸŽฅOUT LINK BELOW โฌ‡๏ธ
View all posts from @barnabaclassic
SAFIRISHA NASI MIZIGO YAKO WEEK HI NA SIKUZOTE ZA MBELENI KUTOKA CHINA ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ณ KUJA TANZANIA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ TANZANIA KWENDA CHINA ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ณ OR INDIA ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ณ KWENDA TANZANIA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ OR TANZANIA KWENDA INDIA | @tan_air_cargo NDO WASAFIRISHAJI NUMBER MOJA WAKIPEKE KATIKA KUKAMILISHA NDOTO ZAKO KIBIASHARA ! MASHAKA HOFU WEKA PEMBENI SABABU TAN AIR WAMEKUSOGEZEA APP YA TAN AIR CARGO UNAWEZA KUPAKUA UKIWA NA SMART PHON YAKO NA UNAWZA KUPATA HUDUMA ZOTE | * LAKINI KIZURU ZAIDI UNAWEZA KUTRACK MZIGO WAKO POPOTE ULIPO NA UKAWEZA KUJUA UMEFIKA WAPI AU UNAFIKA LINI NA UNAPITA WAPI HADI KUKUFIKIA | 

TAN AIR CARGO WASAFIRISAJI NUMBER MOJA TANZANIA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ 

BILA KUSAHAU USISAHAU KUJAZA KIBUBU ILI TWENDE CANTON FAIR | MWEZI WA 10 / ADI 11 PALE MJINI CHINA FURSA NYINGI SANA MAMBO MENGI MAZURU YANAKUJA HAKIKISHA HAUKOSI | HATA KIDOGO ๐ŸŒโš’๏ธ๐Ÿ’ฅ LEGLAND MOPAO | NITAHAKIKISHA SAFARI INAKUA KABAMBE 

KWA MAELEZO ZAIDI FOLLOW PAGE YETU @tan_air_cargo @tan_air_cargo @tan_air_cargo @tan_air_cargo @tan_air_cargo @tan_air_cargo @tan_air_cargo

OFFICIAL BRAND AMBASSADOR | KUTOKA @tan_air_cargo ๐Ÿ’ฃโœŠ๐Ÿฝ๐Ÿ’ฅ
8 3
Was magical | Today nilipata nafasi kutembelea Mradi mkubwa pale Ubungo yazamani ambapo Itakua stand kubwa ya mabasi kutoka mbezi tu kibaha kwenda kariakoo na kuja Ubungo | Furaha ilioje Kuona maendeleo Namana Hi FURSA Kubwa nimepata Kuona | Movement Kubwa mabadiriko katika sekta ya masoko Upinzani Kimataifa nimeridhika Kabisa kusema Tanzania Tunasonga mbele | Pongezi kwa partner Wangu | Leo tumeongea mengi Sana | I am so super excited Tarehe 2/08/2025 | Kwenye Ufunguzi Wa Majengo HAYA mapya kibiashara Ninashahuku kubwa kuwambia Yajayo LAKINI endelea kuwa nasi Kwenye Page zetu Pllzz Follow The official Page ambayo Ni @eaclc_official 

Bila kusahau Big Soso / Kwako. madam Boss / โœŠ๐Ÿฝ Thanks for choosing me and this is Verry opportunity and hospitality hamjakosea Kabisa kumchagu Mopao Ndo shuuri zako na juzi nimetoka China ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ณ na. boss Wangu @king_dtz1 Tuna mengi tumejifunza Basi ninaamini Moja Ya duka Langu Litakua HAPA na mengi Yanakuja mazuri Kabisa nathubutu kusema This is one of the. best and Biggest Mall ambayo nimeona au nimewahi Kuona africa โœŠ๐Ÿฝโ˜„๏ธ

Na kupitia @tan_air_cargo Kampuni Yangu Basi Mizigo Mingi Kutoka maduka haya italetwa kupitia Sisi Hakika โœŠ๐Ÿฝ๐Ÿ’ฅ
22 1557 23816
GOOD NEWS | BARNABA CLASSIC NA TEAM YANGU NZIMA TUNAYOFURAHA SANA KUPATA NAFASI YA KUINGIZA WIMBO WETU KAMA SEHEMU YA HISTORIA TENA | BIG THANKS KWA MASHABIKI WADAU NA KILA MMOJA ALIYEUNGA MKONO HIZI HARAKATI | #SALAMATOUR INAENDELEA WEEK HI  KABLA YA YOTE VOTE VOTE โค๏ธโ€๐Ÿ”ฅ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ’ฅ๐Ÿ’ฅ๐Ÿ‘ KIBAYA ZAIDI HIZI TUZO ZINATOKEA HAPA BONGO SAFARI HI YANI ZINATOKEA HAPA BILA KUSAHAU NINAYO FURAHA KUONA TAJIRI YANGU @king_dtz1 AMEWANIA PIA NAE KAMA MFANYA BIASHARA BORA AFRICA KWELI #KINGDTOTHEWORLD | BIG BOSS | TUNAENDA KUSHINDA NAOMBA MTUPIGIE KURA FATA MAELEKEZO KWENYE POST ZOTE PLZZZZ| ๐Ÿฅ…๐Ÿ™Œ๐Ÿ‘๐Ÿ’ฅ

@eaea_tanzania @eaea_awards_inc @king_dtz1 

VOTE VOTE 

1:  SONGWRITER/LYRICIST OF THE YEAR
2:  LIVE-PERFORMER OF THE YEAR MALE VOCALIST OF THE YEAR 3::โ€ 3:  MUSIC VIDEO/FILM OF THE YEAR:
โ€˜SALAMAโ€™ FT DIAMOND PLATNUMZ

KING DAZZ 

1: FASTEST RISING MALE ENTREPRENEUR
2: FASTEST RISING INSPIRATIONAL YOUTH ICON
18 488
KIZURI | KULA NA NDUGU YAKO | ๐Ÿ’ฃ

Kwa ada yako kamili ambayo utadunduliza kwenye kibubu chako, sisi Tan Air Cargo tutakupa
1. Ticket ya ndege kwenda na kurudi China
2. Hotel ukiwa China,
3. Visa ya China,
4. Usafiri wa ndani kutoka hotelini kwenda kwenye maonesho ya Canton
5. Mkalimani wa Lugha,
6. Kusajiliwa namba ya china pamoja na VPN,
7. Ada ya kiingilio kwenye maonesho ya Canton Fair
8. Kuwaonesha masoko na kukutana na big suppliers kule China
9. Kuwapa space katika banda la Canton Fair for free ili waweze kushowcase product zao
Kwa maelezo zaidi tupigie kupitia +255 744 646 755
Au fika ofisini kwetu Kariakoo mtaa wa Chui, Jengo la TanAir, Flow ya

@tan_air_cargo
22 659 7200
Safari Yetu china ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ณ Ilikua yakipekee Sana | Hakika niseme Pongezi kwako mkurugenzi @king_dtz1 | Kutoka @kingdautosparestz Hi ni Thamani Tosha kwa watanzania na Upendo wa Hali ya juu kuwapa Thamani ya kutazama na kuona UBORA wa bidhaa matendo hay yamefanywa na watu wachache ikiwemo wewe miongoni mwao | Thamani Ya chapa ya king D | Inazidi kukuwa sikuzote | katika Taifa ili na kimataifa| Hatua hizi za Bidha inavyotengenezwa | Zinaleta Hamasa kwa wafanya Biashara na Watanzania Wote kutokua na mashaka | ( #KINGDTOTHEWORLD ) Ilikua namna hi | Hongera Sana | President | DAZI Tajiri Mtoto | mwenye Kujua Speed na namna Ya Utendaji | ๐Ÿ’ฅโœŠ๐Ÿฝ Tumekagua Pikipik Yetu pia Imefika Athilimia 68% tutarudi mwaka Hu Tena kuwaonesha Imefikia wapi ๐Ÿ’ฅโœŠ๐Ÿฝ

#KingDChinaNdogo 
#BEIimefariki 
#DastaniBig Boss | 
#MtotowaKigoma ๐Ÿ’ฅ๐Ÿ’ฅ๐Ÿซถ๐ŸŒ
18 1308 23323
PAMA | @kenzoo_designer 
T SHIRT ๐Ÿ‘• / @tozy_fashion_killer 
JINS / @vitu_vinakaa 
BOOT ๐Ÿฅพ / @kenzoo_designer 
 SOKS / BOXER @abelclassicwear
34 3
๐Ÿ’ฃ @mopao24online
69 4380
@mopao24online
44 1502
Let's come together for #USIKUWASALAMA With @barnabaclassic @kwatunzabeach Counting down the days until the big event!!!!! Get ready to celebrate in style.

#ibizasunday
16 1158 35207
WAS MADNESS | YESTERDAY | JUMATATU ILIKUA KAMA JUMAPILI AU JUMAMOSI * ASANTENI SANA MBEYA HAKIKA IMEKUA HISTORIA AMBAYO | HAIWEZI KUFUTWA KABISA | ONE MAN LOOKS LIKE 100 /MAN | #SALAMATOUR | IMEFANIKIWA KUANZA KAMA TULIVYOPANGA | HAKIKA NISEME ASANTE KWA WATU WOTE TULIOFANIKISHA JANA TUMEWEKA | FINA DESTINATION | HAPA | MIKOA  INAYOFATA  TUTASEMA | ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œโค๏ธโ€๐Ÿ”ฅโค๏ธโ€๐Ÿ”ฅโš’๏ธ๐Ÿ’ฃ THANKS TO MY TEAM ( @hightablesound @kb38_official @muuloveee @cadrakq @mullaobo / 
BIG SOSO/ TO MY BODYGUARD | @san_breeezy โœŠ๐Ÿฝ๐Ÿซก SALUTE | 

BIG SOSO / TO MY SPONSORโ€™S | / @hightablesound @dadaznight @poawater @wasafifm @king_dtz1 @kingdautosparestz @greenoasisvillas | TANAIRCARGO | @tan_air_cargo 

YOU GUYS ๐Ÿ™๐Ÿฟ ASANTENI 

SEE YOU ANOTHER REGION ๐Ÿ™ŒโœŠ๐ŸฝโœŠ๐Ÿฝโš’๏ธ๐Ÿชก๐ŸŒ ๐Ÿ™Œ

BIG SOSO / @officialmbeyapazuri mzazi @msuyafinest
32 3 7952
UKIFIKA MBEYA USIPATE TABU KUTANA NA APARTMENT NZURI BORA SAFI NA SALAMA KABISA TREATMENT NZURI | WAHUDUMU WAZURI | 

HUDUMA ZOTE STAHIKI ZIKO NDANI YA HIZI APARTMENT 
KWA MAELEKEZO ZAIDI | SOMA DETAILS HAPO CHINI โš’๏ธ๐Ÿชก๐Ÿ’ฅDOWN 

*GREEN OASIS VILLAS* @greenoasisvillas 
APARTMENT KALI ZA KISASA
ZENYE KILA KITU NDANI
JIKO, DINING, SEBULE NA VYUMBA VYA KULALA.
UNAWEZA KUJIPIKIA AU UKAPEWA MPISHI AKAKUPIKIA
PRIVACY NA SECURITY VYA KUTOSHA
FREE WI-FI, PARKING YA KUTOSHA
STANDBY GENERATOR 
LOCATION: SAI MBEYA MJINI, 
SIMU NA WHATSAPP: 0761470800
INSTAGRAM: GREEN OASIS VILLAS

FOLLOW ACOUNT YAO KUONA MENGI 
@greenoasisvillas  @greenoasisvillas 
MBEYA KAMA USA ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ๐Ÿ™Œ๐Ÿ’ฃ

NA LEO MIMI NA TEAM YANGU NZIMA KUTOKA @hightablesound TUMELALA HAPA BAADAE TUNAKUTANA MBEYA PAZURI
32 2367 37308
CLOSE GET LEO ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œโš’๏ธ BAADA YA KUKAMILISHA MWANZO WETU KUANZIA CHUNYA | *MBALALI / TUNDUMA * LEO KILELE CHAKWANZA TUNAMALIZA HAPA | MBEYA @officialmbeyapazuri | GO GET YOUR TIKET TUNABADIRISHA JUMATATU KUWA JUMAMOSI | HAIJAWAHI KUTOKEA \ KAMWE | HAKIKA I AM SO HAPPY MAPOKEZI MAKUBWA NA MAZURI *HASWA | ๐Ÿ™ŒโœŠ๐Ÿฝ๐Ÿชกโ˜„๏ธ WATOTO WAZURU WANANGU WA MBEYA WOTE NAWAKARIBISHA SANA LEO ๐Ÿ’ฅ ITS LIVE SHOW  CC @msuyafinest 

BIG SOSO KWA WENYEJI WANGU HAPA NILIPOFIKIA @greenoasisvillas MENGI MAZURU UKIFIKA HALA #SALAMATOUR UMEISHIKA VIZURI | โœŠ๐ŸฝโœŠ๐Ÿฝ 

THANKS MY PEOPLE โœŠ๐Ÿฝ๐Ÿ’ฃโ˜„๏ธ LEGLAND ๐Ÿชก

FOR MORE BOOKINGS ( barnabamanagement@gmail.com ) 
  CALL ๐Ÿ“ž 0719172907 
  CALL ๐Ÿ“ž +255 742 792 862

BIG SOSO KWA SPONSOR WETU @wasafifm @hightablesound @greenoasisvillas @tan_air_cargo Air Cargo @TN hotel PREM WATERT @poawater @dadaznight @cosotatanzania

MY BODYGUARD โœŠ๐Ÿฝ๐Ÿซก @san_breeezy
57 4312 44828