Activity Report

Cyrill Kamikaze
Cyrill Kamikaze
@cyrill_kamikaze
Followers: 469,184Posts: 1,234Following: 989
MANSA MUSA 👑 KIFARU 🦏 SINGIDA BOY 🌻
View all posts from @cyrill_kamikaze
First borns wengi tumekuta wazazi wetu bado wanapambana kwenye maisha, kukodi chumba kimoja, mlo wa shida nk ila maisha yaliendelea. . Kwaiyo usijikatie tamaa hata kidogo, maisha ni mchakato mrefu. .  Mimi na marafiki zangu tunawasalimia.! 🙏🏾
95 3
Ni siku 1 kati ya siku 365, Mungu atuongoze kwenye hii safari, ikawe ya mafanikio, afya njema na baraka za kutosha. . Happy New year fam. .
21 3
Do good and good will come back to you. . #Kifaru
39 3
Hakikisha Mawazo ya wengine kuhusu wewe, yasiwe ndio mipango yako asilimia 100. #kifaru
11 3
BEFORE/AFTER. . Waga inanibidi niache kunyoa hata miezi 😁 maana kupata mtu anae kupatia kichwani ni changamoto. Hapo inabidi ni safiri kumfuata @jimi_the_barber mtu mbad kabisa 🔥🔥
50 3
Nina mambo mengi ya kusema hapa lakini najua siitaweza kuyamaliza yote. Ila kwa ufupi, NINA FURAHA SANA, Mimi na @juma_jux tumetoka mbali sana, hatujakutana ukubwani, sisi tumesoma shule moja na urafiki wetu ulianzia huko nyuma tukiwa Olevel kabla ya umaarufu na vyote hivi vya leo.  Tumepitia nyakati za furaha na za uzuni pamoja, infact asilimia 90 ya changamoto za kimaisha tumezi solve pamoja, hakuna kitu kizuri kama kuona rafiki yako akiwa na furaha au amepiga hatua kwenye maisha. @juma_jux nina furaha sana bro na unajua hilo,tumekuwa tukiongea masaa mengi kwenye simu, kupeana ushauri, mawazo nk. Hongereni sana @juma_jux @its.priscy kwenye hii safari yanu mpya ya maisha. Mungu awabariki sana.! #Jp2025
95 3
Jungle Life. . #Kifaru
10 3 26279
2025.
15 3
Merry Christmas Fam. Lets All Win. .!
28 3
Endelea kupumzika kwa amani Mama. Tarehe kama ya leo tulikua tuna sherehekea siku yake ya kuzaliwa. . My number one supporter toka siku ya kwanza #HappybirthdayinHeaven #Superwoman #JFK #MamaKamikaze #BossKabisa 🙏🏾🙏🏾
61 3
Hakuna mtu ana kumbukwa kwa vitu ambavyo hakufanya. . #kifaru
19 3
Nawakumbuka sana washkaji zangu wa mtaa na washkaji zangu wa shule,  hustle zimetufanya tuwe mbali ila bado love ni ile ile. . Bless 🙏🏾 #Washkaji  produced by kamikaze (me) lol
58 3 56461