Activity Report

Elizabeth Michael
Elizabeth Michael
@elizabethmichaelofficial
Followers: 8,385,494Posts: 660Following: 361
🇹🇿
View all posts from @elizabethmichaelofficial
4 years later… @jizosound joined the crew 🔊

#4yearsanniversary❤️ 
#jizosound
1272 58160 995459
Happy birthday in advance binti yangu GRACIOUS (07/12) & Happy belated birthday kijana wangu GENESIS (16/07) ❤️

Na hii ndio zawadi yangu kwenu kwa mwaka huu..Hatukufanya sherehe yoyote kwa kaka yako na hatutafanya sherehe yoyote kwako pia,hii mzoee mapema..sio mara zote mtapata vitu mnavyotaka au mlivyozoea.

Lakini nimeona msikose hata zawadi ndogo…na hii ndio zawadi niliyoongozwa na roho wa MUNGU kuwapa kwa mwaka huu…nina imani kubwa siku mkipata uelewa mtaipenda na kuifurahia.!

Mungu awakuze katika KIMO NA MAARIFA…uwepo wake usiwaache katika yote…mkue kuishi kusudi lenu…mkue kufanya yatakayo wapendeza wazazi,ndugu,jamaa ,jamii na zaidi yatakayompendeza MUNGU🙏

Kwa uongozi wa MUHIMBILI na staff wote wa wodi hii ;Ahsanteni sana kwa ushirikiano mlionipa mimi na team yangu,kuanzia kwenye kutupa majibu ya barua ya maombi ya ukarabati kwa haraka na kipindi chote cha ukarabati mpaka kukamilisha WODI HII YA UPENDO (ambayo kwasasa itatambulika kama ELİZABETH MICHAEL WARD) MUNGU awazidishie moyo huu na zaidi nashukuru sana kwa heshima mliyonipa ❤️🙏(Wodi hii ya  NI WODI YA WATOTO WENYE SARATANI/CANCER)

Kwa team yangu ya mafundi na msimazi wangu @happyntanga sina cha kuwalipa…mlijitoa sana na ndani ya muda mfupi wa wiki 1 na siku 1 tuliweza kukamilisha ukarabati wa WODI hii pamoja na PROCEDURE ROOM🙏MUNGU ninayemuamini asiwaache.!

Kwa wazazi/walezi wa watoto hawa…Siku chache nilizoshinda hapo nimeona maumivu,kujitoa na jitihada zetu kwa watoto wenu…Naomba mjue MATUMBO YENU WAMEBEBA MAKUSUDI makubwa…mnapita tu kwenye moto wa kuwafanya wakomavu zaidi kwa baraka za huko mbele…tumeleta vitabu vya dini (zote)na vitu mbali mbali vya kidini vya kuwasaidia kuwa karibu zaidi na MUNGU…MAOMBI na IMANI yetu ni kuona mnapita tu sehemu hii na kutoka mkiwa na USHUHUDA na USHINDI mkuu,MUNGU AWAPE MIOYO YA SUBIRA NA KUAMINI KATIKA NJIA ZAKE🙏

#elizabethmichaelward❤️
#graciousbirthdayweek
4262 53820 1083992
Mapema leo tukiongozwa na Mh Raisi @samia_suluhu_hassan Katika mkutano wa watayarishaji wa filamu KOREA pamoja na wasanii na watayarishaji wa filamu kutoka TANZANIA..! 🇹🇿 

Mengi tumejadili Lakini kubwa linalo tia matumaini ni jinsi gani RAISI wetu anatambua sanaa Kama eneo muhimu lenye kutoa AJIRA kwa vijana na Watu Wazima wengi na kutaka  kuhakikisha eneo Hili linapata nguvu na kuweza kusimama Kama wenzetu walivyoweza kufanya hivyo..!

Cc @ikulu_mawasiliano 
#mamakazini🇹🇿💪🏻
592 40506
Dear GOD 🙏 💙💕

Hair @toobeautysalon
278 39114
It goes down when my G’s connect 😁

Happy belated birthday kijana wangu GENESIS…sina mengi baba,sala yangu ni ile ile ya siku zote…UTUNZWE NA MUNGU,ULINDWE NA MUNGU,UKUZWE NA MUNGU na UFANIKISHWE NA MUNGU 🙏 💙

Now let’s catch cruise forget abiii😜

#birthdaygetaway🎉 
#4daystocelebrate4years
#16/07
260 22704 379662
Can’t get enough 😍 NAWAPENDA

Cc @cheeky_tz 
Daddy cheeky @iam_khizzer
266 40650
Mummy Cheeky X @toobeautysalon 🥰
164 12480 360247
Mummy Cheeky 2025 👸 😊

#cheekydiapers7/72025
389 41432
It’s a BOOOOOY y’all 💙💙💙

Na hivi sijawahi kufanya baby shower ya ukweli…shooting this nilikuwa IMOSHONO 🥹😭🥰haya leteni jina wajomba/shangazi wa ONLAINI 💃
913 57765
Kutana na @elizabethmichaelofficial katika banda la Cheeky Sabasaba. 

Njoo upate elimu kuhusu matumizi bora ya daipa zetu bila kusahau zawadi zitatolewa 🎁🎉 .

Pia utapata nafasi ya piga picha kwa pamoja.👏

👉Tupo Karibu na SabaSaba Zoo.

#SabaSaba2025 #Sabasaba #BabyCheeky #BabyDiaper #MaoneshoyaSabaSaba #Offer #SabaSabaOffer #daipa #bidhaabora #DrafcoGroup
#SabaSabaTanzania
16 471
IKUNDA 🇹🇿 X UCHENA 🇳🇬 

From  Zanzibar with love…”Mzigo” burden is finally breaking through.
Mzigo (Burden) official trailer 🔥
Cc @emmanuelikubese @mzigoprojectafrica

After a powerful event this morning at the Zanzibar International Film Festival, where Mzigo received a resounding applause and heartfelt feedback, we are proud to share the very first teaser of this deeply human, Pan-African story.

A story of love, pain, resilience, sacrifice, hope and the unspoken weight so many carry in silence.
A story that echoes across borders and now, across screens.

This is more than a film. It’s a movement.
And it begins with this first glimpse.

#MzigoTheFilm #MzigoBurdenUnveiled #ZIFF2025 #PanAfricanCinema #StorytellingWithPurpose #HopeOnScreen #AfricanVoicesRising #SickleCellAwareness #FromAfricaToTheWorld

Mzigo (Burden) official trailer 🔥
Cc @emmanuelikubese @mzigoprojectafrica
253 9071 204181
Kimsingi ushahidi wa picha utampambania MARIA….alofanya fotoshuti na tumbo Ndo baba bwana we🏃‍♀️🌚

#juakaliseries
465 35661

Similar Profiles You May Like

Алиса Красовитова •Предприниматель • Спикер • SelfMadeWoman's profile picture

Алиса Красовитова •Предприниматель • Спикер • SelfMadeWoman

@alisakrasovitova
1,002,407 followers
View Алиса Красовитова •Предприниматель • Спикер • SelfMadeWoman's Instagram profile with 1,002,407 followers and 2098 posts
Amr Youssef's profile picture

Amr Youssef

@amryoussefofficial
7,958,449 followers
View Amr Youssef's Instagram profile with 7,958,449 followers and 404 posts
Cande Copello's profile picture

Cande Copello

@cande.copello
956,211 followers
View Cande Copello's Instagram profile with 956,211 followers and 2180 posts
Gizem Özdilli's profile picture

Gizem Özdilli

@gizemozdilli
718,472 followers
View Gizem Özdilli's Instagram profile with 718,472 followers and 1389 posts
Isabella Fiorentino Hawilla's profile picture

Isabella Fiorentino Hawilla

@isabellafiorentino
4,833,172 followers
View Isabella Fiorentino Hawilla's Instagram profile with 4,833,172 followers and 9342 posts
PRESNEL KIMPEMBE's profile picture

PRESNEL KIMPEMBE

@kimpembe3
4,699,543 followers
View PRESNEL KIMPEMBE's Instagram profile with 4,699,543 followers and 273 posts
Misha Collins's profile picture

Misha Collins

@misha
5,238,609 followers
View Misha Collins's Instagram profile with 5,238,609 followers and 2012 posts
Chaz Alexia's profile picture

Chaz Alexia

@therealpinkb
471,964 followers
View Chaz Alexia's Instagram profile with 471,964 followers and 401 posts