Activity Report

GODLIVER GORDIAN 🇹🇿
GODLIVER GORDIAN 🇹🇿
@godliver_gordian
Followers: 912,468Posts: 2,914Following: 686
CHILD OF GOD A MOM VICE PRESIDENT- TAFF BEST ACTRESS | ZIFF-2016 |TFFA 2021🇹🇿 | BEST EA ACTRESS 2022 MVA VO ARTIST | ACTING COACH | FILM DIRECTOR
View all posts from @godliver_gordian
Hey love

HAPPIEST BIRTHDAY TO YOU MY SWEETHEARTS @maryprotace @zaiylissa @idrissamohammedy 

NAWAOMBEA KHERI NA ULINZI, REHEMA, AMANI, FURAHA NA BARAKA ZA MUNGU ZIWE JUU YENU. MSIACHE KUMTEGEMEA MWENYEZI MUNGU KATIKA KILA HATUA YA MAISHA YENU, YEYE PEKEE NDIO MSAADA WA UHAKIKA NA THABITI. NAWAPENDA WADOGO ZANGU.💖💖💖

Zaburi 119:105 Neno lako ni taa ya miguu yangu, Na mwanga wa njia yangu.
.
.
.
Utukufu na uweza ni wake Bwana na Mwokozi wa maisha yetu Yesu Kristo wa Nazareth, milele na milele. Amina 💖
5 1087
Hey love

VISA NA MIKASA BADO VINAENDELEA NDANI YA TAMTHILIA YA JUA KALI.. ENDELEA KUFATILIA SIMULIZI HII UPATE KUJIFUNZA, KUBURUDISHWA NA KUONYWA KUPITIA MATUKIO NA TABIA ZINAZOPENDEZA NA ZILE ZA MACHUKIZO KUTOKA KWA WAHUSIKA WA TAMTHILIA HII.

BF @love_juakali 
Mithali 18:2 Mpumbavu hapendezwi na ufahamu; Ila moyo wake udhihirike tu. 
.
.
.
#juakaliseries kila Jumatano hadi Jumapili saa 3:30 usiku kupitia @maishamagicbongo @dstvtanzania

Cc Multi Award winning Director @lamataleah
Assistant Director @saidmkukila
Final Editor @selemanimasenga
.
.
.
Utukufu na uweza ni wake Bwana na mwokozi wa maisha yetu Yesu Kristo wa Nazareth. Amina💖
139 7215 107730
Hey love

Jana tarehe 24/07/2025 uongozi wa Shirikisho la Filamu na uongozi wa vyama 9 vilivyo chini ya Shirikisho, tulikutana na Waasisi na Balozi wa HAPA AWARDS pale Bodi ya Filamu kwa mazungumzo ya kuipeleka Tasnia ya Filamu Tanzania kimataifa zaidi hasa Hollywood kwa njia ya kuongeza ufanisi zaidi katika uzalishaji wa filamu zetu na masoko.

Cc @tanzaniafilmfederation_taff
@rajabu_amiry38 
@hapawards
@tanzania_film_board

UMEIONA MIWANI YA @onaeyecare 
.
.
.
Utukufu na uweza ni wake Bwana na Mwokozi wa maisha yetu Yesu Kristo wa Nazareth, milele na milele. Amina💖
38 2595
Leo Tarehe 24/07/2025 Mheshimiwa Rais wa Shirikisho la Filamu Tanzania Bwn. Rajabu Amiry @rajabu_amiry38 na Makamu wake Bi Godliver Gordian @godliver_gordian walifika kwenye Kliniki ya macho ya @onaeyecare pale PR COMPLEX Sinza Kumekucha na nyingine iliyopo katika jengo la PSSF lililopo bara bara ya Samnujoma kwaajili ya kushuhudia upimaji wa macho kwa wazee waigizaji kutoka TAASIS YA WAZEE WAIGIZAJI TANZANIA. Huduma hii imedhaminiwa na @onaeyecare watoa huduma ya upimaji na matibabu ya macho wakishirikiana na Shirikisho la Filamu Tanzania. Hii ikiwa ni moja kati ya majukumu ya Shirikisho la Filamu kuweka ushirikiano na wadau wetu kuhakikisha palipo na uhitaji Shirikisho linawafikia na kutoa msaada stahiki.
13 363 22227
Hey love

KWANI MWEUPE MWEUPE MWEUPE ANASHIDA GANI? Hahahahahaahaaa ila Whoopi..

🍿 MOVIE NAME: MADE IN AMERICA
.
.
.
Utukufu na uweza ni wake Bwana na Mwokozi wa maisha yetu Yesu Kristo wa Nazareth Mungu aliye hai, milele na milele. Amina💖
12 457 16633
Hey love

@onaeyecare WAKISHIRIKIANA NA SHIRIKISHO LA FILAMU TANZANIA @tanzaniafilmfederation_taff WATATOA HUDUMA YA UPIMAJI WA MACHO KWA WAZEE WAIGIZAJI TANZANIA KUTOKA TAASIS YA WAZEE WAIGIZAJI TANZANIA SIKU YA TAREHE 24 YA MWEZI HUU.

@onaeyecare WANARUDISHA KWA JAMII NA SASA NI ZAMU YA WAZEE WETU WA TASNIA YETU.

Cc @rajabu_amiry38
15 770 16506
Hey love

Hata ukipita kwenye wakati mgumu kiasi gani USIKUBALI KUKIRI UDHAIFU AU KUSHINDWA.
Kama umechagua kumtumainia Bwana Yesu basi UMECHAGUA FUNGU JEMA. HATOKUACHA UANGAMIE WALA AIBU IKUKUTE MAANA KATIKA YOTE ATAKUPA MOYO WA USTAHIMILIVU NA HEKIMA KUBWA YA KUSONGA MBELE.

Zaburi 118:17 Sitakufa bali nitaishi, Nami nitayasimulia matendo ya BWANA.

TAMKA MANENO YA KUKIRI USHINDI SASA NA SIKU ZOTE NA MAJIRA YOTE. NENO LINALETA UHAI NA KUONDOA PIA. CHAGUA VYEMA MANENO UNAYO JINENEA.. WEWE NI MSHINDI 💖💖💖
.
.
.
Cc @neemagospelchoirtz 
.
.
.
Utukufu na uweza ni wake Bwana na Mwokozi wa maisha yetu Yesu Kristo wa Nazareth Mungu aliye hai, milele na milele. Amina💖
21 1054 24461
Hey love

ITS GOOD MORNING.. COUNT YOUR BLESSINGS, PRAISE AND GIVE THANKS TO GOD.. MOVE FORWARD WITH HOPE IN CHRIST JESUS ALMIGHTY.💖💖💖

Mika 6:8 Ee mwanadamu, yeye amekuonyesha yaliyo mema; na BWANA anataka nini kwako, ila kutenda haki, na kupenda rehema, na kwenda kwa unyenyekevu na Mungu wako! Udanganyifu na Udhalimu Kuadhibiwa He hath shewed thee, O man, what is good; and what doth the LORD require of thee, but to do justly, and to love mercy, and to walk humbly with thy God?
.
.
.
Utukufu na uweza ni wake Bwana na Mwokozi wa maisha yetu Yesu Kristo wa Nazareth Mungu aliye hai, milele na milele. Amina💖
1 139 6525
Hey love

Kazi Kubwa Imefanyika Kwenye Nchi YETU Ya
TANZANIA @samia_suluhu_hassan Mama Mwenye
UJASIRI HEKIMA MPOLE NA MVUMILIVU Huyu Ndio Chaguo Letu Sisi Na Hatutoyumbishwa Na MTU Yeyote.
OCTOBER TUNATIKI MAMA MITANO TENA @ikulu_mawasiliano
.
.
.
Utukufu na uweza ni wake Bwana na Mwokozi wa maisha yetu Yesu Kristo wa Nazareth Mungu aliye hai, Milele na milele. Amina💖
503 541
40 ZA MARIA ZIMETIMIA🙌🏾🙌🏾🙌🏾, DUUUH  ELEN  HATARI KWAKWELI…neno moja kwa kwa ELEN na THOMAS
Usikubali kupitwa aisee Jua liko utosini ndani ya @maishamagicbongo @dstvtanzania Saa 3:30 Usiku Jtano- Jmos.
1734 29148 665230
Hey love

VISA NA MIKASA BADO VINAENDELEA NDANI YA TAMTHILIA YA JUA KALI.. ENDELEA KUFATILIA SIMULIZI HII UPATE KUJIFUNZA, KUBURUDISHWA NA KUONYWA KUPITIA MATUKIO NA TABIA ZINAZOPENDEZA NA ZILE ZA MACHUKIZO KUTOKA KWA WAHUSIKA WA TAMTHILIA HII.

Zaburi 101:7 Hatakaa ndani ya nyumba yangu Mtu atendaye hila. Asemaye uongo hatathibitika Mbele ya macho yangu.
.
.
.
#juakaliseries kila Jumatano hadi Jumapili saa 3:30 usiku kupitia @maishamagicbongo @dstvtanzania

Cc Multi Award winning Director @lamataleah
Assistant Director @saidmkukila
Final Editor @selemanimasenga
.
.
.
Utukufu na uweza ni wake Bwana na mwokozi wa maisha yetu Yesu Kristo wa Nazareth. Amina💖
269 6197 108728
Hey love

Mathayo 5:13 Ninyi ni chumvi ya dunia; lakini chumvi ikiwa imeharibika itatiwa nini hata ikolee? Haifai tena kabisa, ila kutupwa nje na kukanyagwa na watu.

Video Credit goes to @pen_addictress 
.
.
.
Utukufu na uweza ni wake Bwana na Mwokozi wa maisha yetu Yesu Kristo wa Nazareth Mungu aliye hai, milele na milele. Amina💖
6 169 8669