Activity Report

Hellen Majeshi
Hellen Majeshi
@iamrubyafrica
Followers: 1,784,564Posts: 12Following: 766
Tanzanian 🇹🇿 WOG | Musician🎙️|GENESIS 39:21
View all posts from @iamrubyafrica
Happy Birthday my Ariyah💐💐💐🌹Welcome to the 1stFloor 

Pretty little baby I'm so inlove with Youu uuu uuuu 

Be protected by the blood of Jesus
234 24044
Yeremia 29
11 Maana nayajua mawazo ninayowawazia ninyi, asema Bwana, ni mawazo ya amani wala si ya mabaya, kuwapa ninyi tumaini siku zenu za mwisho.

12 Nanyi mtaniita, mtakwenda na kuniomba, nami nitawasikiliza.

13 Nanyi mtanitafuta na kuniona, mtakaponitafuta kwa moyo wenu wote.

14 Nami nitaonekana kwenu, asema Bwana, nami nitawarudisha watu wenu waliofungwa, nami nitawakusanya ninyi, nikiwatoa katika mataifa yote, na katika mahali pote, nilikowafukuza, asema Bwana; nami nitawaleta tena, hata mahali ambapo kutoka hapo naliwafanya mchukuliwe mateka.
0 4653
DEAR GOD 

YOU'VE BEEN A GREAT FATHER TO ME AND TO MY CHILDREN 
I THANK YOU I THANK YOU I THANK YOU 

ZABURI 2:7 ❤️🙏👑
0 3 14574
JITENGENEZEE UWEZO WA KUMSKIA MUNGU 

Baba yake na YESU  alikua ni Fundi seremala tu lakini Mtoto aliemlea ni YESU 👑 

DAUDI alikua ni Mchunga kondoo tu na nyimbo zake za hapa na pale lakini ndio aliekuja kua mfalme na DAUDI aliupata huo Ufalme kwa kuskiliza na Kuitii ile sauti ya MUNGU 

I always tell my Friends Hakuna chochote hapa duniani kinachotokea ambacho hakikuanzia kwenye ulimwengu wa Roho maana huko ndio shetani aliko jifichia kutega mabomu yake, Na MUNGU alivyomwema haachi kusema nasisi ila tumekosa utulivu na utii,so distracted na mazimgira, But MUNGU sikuzote anasema na watu ~Vita yetu si Katika Mwili bali katika Roho 
~Enendeni katika ROHO na KWELI 

Ukianzia Kuishi Katika ulimwengu wa ROHO WA MUNGU hamna kitu utaacha ona 😆😆😆😆😆Mie Huyu MUNGU nampenda sana 

#UMECHELEWA WAPI KWENYENINI⁉️🤣🤣😆
22 720 21609
1Wakorinto 9:20~22

Nalikuwa kama Myahudi kwa Wayahudi, ili niwapate Wayahudi; kwa wale walio chini ya sheria, nalikuwa kama chini ya sheria, (ingawa mimi mwenyewe si chini ya sheria), ili niwapate walio chini ya sheria.

Kwa wale wasio na sheria nalikuwa kama sina sheria, (si kwamba sina sheria mbele za Mungu, bali mwenye sheria mbele za Kristo), ili niwapate hao wasio na sheria.

Kwa wanyonge nalikuwa mnyonge, ili niwapate wanyonge. Nimekuwa hali zote kwa watu wote, ili kwa njia zote nipate kuwaokoa watu.
0 895
@philipamitchell ✍🏿
0 427 14666
I AM THE SALT OF THE EARTH 🌍 

SIR TAKE YOUR GLORY AND HONOR 🫡🙌🙏🏿🧎‍♀️‍➡️
771 18589 265195
ZABURI 2:7~9 

Nitaihubiri amri; Bwana aliniambia, Ndiwe mwanangu, Mimi leo nimekuzaa.

Uniombe, nami nitakupa mataifa kuwa urithi wako, Na miisho ya dunia kuwa milki yako.
 
Utawaponda kwa fimbo ya chuma, Na kuwavunja kama chombo cha mfinyanzi.
24 1043
SHALOM KINGDOM FAMILY 🙏🏿
NINAMSHUKURU MUNGU KWAAJILI YETU SOTE NA KWA KIBALI ALICHOKIACHILIA JUU YA MAISHA YANGU 

ASANTENI WOTE KWA JUMBE ZENU 
ZINANIFARIJI NA KUNITIA NGUVU MBARIKIWE MNO KWA MBEGU YENU YA UPENDO 😭😭😭😭🤲🏾🙏🏿 

NAPENDA KUFANYA HIVI TENA NA TENA NA TENA MPAKA PUMZI YANGU YA MWISHO CAUSE IF NOT JESUS THEN WHO?

MWANZO39:21 
GENESIS39:21 KAMA ILIVYOKUA KWA YUSUFU IMEKUA NA KWA HELLEN (RUBY) IKAWE NA KWAKO MPENDWA 🫵🏾🙏🏿❤️💪🏻
663 11890 127446
@philipamitchell 

THIS ONE EEH 🙏🙌🔥
0 655
MY BIGGEST DREAM IS TO CALM DOWN
0 977 38870
BILA WEWE YESU BORA NIFE 😭🙌🏿🙏🏻 NO JESUS NO LIFE 

ALL I NEED IS YOU JESUS ❤️KILASIKU UNANIKUMBATIA NA MM NIKUKUMBATIE YESU WANGU 😭🙏🏻 🫂

KUTOKA 40:36~~Na hapo lile wingu lilipoinuliwa kutoka juu ya maskani, wana wa Israeli wakaenda mbele katika safari zao zote,

*37~~ bali kama lile wingu halikuinuliwa, wakati ule hawakusafiri hata siku ile lilipoinuliwa tena.
 
*38~~ Kwa maana lile wingu la Bwana lilikuwa juu ya maskani wakati wa mchana, na mlikuwa na moto ndani yake wakati wa usiku, mbele ya macho ya nyumba ya Israeli katika safari zao zote.
313 6570 132367