Activity Report

Irene Paul
Irene Paul
@irenepaul001
Followers: 2,345,770Posts: 1,389Following: 2,963
▪️🏆Awards Winner ▪️🎬Producer ▪️📺 Host ▪️👜Founder @iamnaturalistar ▪️🧎‍♀️Godly <Rehoboth> ¹Business ²Art ³Lifestyle
View all posts from @irenepaul001
Amor 🫶 

²⁰²⁴

Iam honored kuweza kuvaa vazi mfano la Rais wangu Dr.@samia_suluhu_hassan,picha ya mwisho ya tatu na kwanza ndio my favorite🙂

Linaongea uanamke(femininity),Stara(modesty) na Mandate(Mamlaka).

Kiufupi vazi hili litavaliwa na wanawake wengi maana linapendeza na muanzilishi wake ni yeye mwenyewe siku alipolivaa.

Mwisho challenge hii ni ya Kila mtu ambaye ni mtanzania bila kuangalia hali yako kimaisha,kiufupi tafuta kitambaa chako shona kulingana na umbo ila mshono huu basi moja kwa moja na wewe utakuwa umeingia kwenye challenge.

USISAHAU  TAG: @samia.app ili tukuone ulivyo damshi tukupe sifa zako🙂
456 21675
Amor 🫶 

²⁰²⁴
Patriotism 
#shereigns
187 14279 266458
Amor🫶

²⁰²⁴

REPRESENTING  HER🫡
#shereigns

Tanzania × Korea
228 26072 520029
AMOR❤️

🙂

#naturaliSTAR
43 740
AMOR❤️

Simple,neat and classy.

NB;IPI  IMENIPENDEZA?🤔

Cc:
Nywele,kibanio na styled by;
@plush_naturalhairtz 
@plush_naturalhairtz
245 13136
Thank you for trusting us @irenepaul001 🥰

Hii nywele ni 100% human hair, una weza kubana style nyingi tofauti tofauti, 

Una weza kui treat kama nywele yako, na ukisha suka una weza rudia kuisuka zaidi ya mara moja,

KUSUKA PAMOJA na nywele ni Tsh 500,000/-
NYWELE PEKEAKE  Tsh 300,000/- 

VIBANIO VINAPATIKANA DUKANI KWETU ✅

Tunapatikana mikocheni mtaa wa sangara nyumba 18. 

Tupigie au watsapp +255768001465
20 1045 42467
AMOR🤣

Kuna watu ukiwaangalia utasema wana hela🤣

Nb: Mimi ni watu😁

NYWELE BY : @plush_naturalhairtz
39 3088
AMOR❤️

100%  human hair......

Yaani ukiniuliza nywele yangu ni ipi haki hata mimi sitajua🤣,halafu ni nyepesi hainiwashi wala kunichoma choma.

Nb: Stlyed by @plush_naturalhairtz @plush_naturalhairtz
18 1101 81995
AMOR❤️

Maisha ya Instagram yatatuua🤣

Yani kiufupi kuna saa hamjui tunatamanigi kuwa wa kawaida sana,sasa hapo kuwa mimi tena kosa langu ni nini?au kuwa msanii kunahusikaje jamani kha🤣🤣

ONENI WALIVYOBADILIKA SASA......ANYWAYS @plush_naturalhairtz @plush_naturalhairtz mnependezesha sana.

Nb; HII NYWELE NI TAMU SANAAAAAA AISEEEEE,KAMA YANGU🫣

Cc:
@plush_naturalhairtz 
@plush_naturalhairtz
21 3961 157240
AMOR❤️

Eyes on the prize✋️

#naturaliSTAR🙂
0 3
AMOR❤️

FOCUS

#naturaliSTAR🙂
0 3
AMOR❤️

FOCUS✋️

#naturaliSTAR
0 3