Activity Report

Jokate Urban Mwegelo
Jokate Urban Mwegelo
@jokatemwegelo
Followers: 9,199,716Posts: 3,237Following: 2,074
Former District Commissioner, Presidents’ Office Sec. Gen Youth Wing @ccmtanzania Member Global Network of Young Decision Makers @club_de_madrid
View all posts from @jokatemwegelo
💚
147 6567
Tujikumbushe kidogo. Vijana tuko na SAMIA 👊🏽👊🏽👊🏽👊🏽👊🏽

Hii ni DAR ES SALAAM vijana wa IFM 💚
996 2911 172747
#DIRA2025 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
224 1218 16297
#DIRA2025 🇹🇿🇹🇿🇹🇿

Asilimia 81 ya waliotoa maoni kwenye DIRA 2050 ni VIJANA!!! Leo na kesho ya nchi yetu iko mikononi mwa VIJANA 👊🏽

Wewe una DIRA ya maisha yako?

✍🏽 Dira ya Maendeleo ya Taifa ya mwaka 2050 inalenga kuifanya Tanzania kuwa taifa la uchumi wa juu unaojumuisha watu wote, wenye maendeleo ya kijamii, kiuchumi na kiikolojia. VIJANA, ambao ni zaidi ya nusu ya idadi ya Watanzania, ndio mhimili mkuu wa kufanikisha dira hii 🇹🇿🇹🇿
996 2162 60606
Have friends that hype you like mine 😚

JUM.
1243 16292
Chama ni vikao 💚

CCM ina utaratibu mzuri wa kuunganisha uzoefu wa wazee na ubunifu wa vijana. Vijana sio tu wanawezeshwa kupata elimu na kujiendeleza ila zaidi wanapewa nafasi ya kuonesha uwezo na ubunifu wao. 

Vijana Tunaweza 💪🏽
525 7227
Ukiwa Arusha inafaa uwe kama wana Arusha 👊🏽👊🏽👊🏽

Vijana, akina mama ….. Asanteni kwa LOVE!!!
368 20751 577783
ARUSHA MJINI ❤️❤️❤️❤️❤️
776 23285
Voted Africa’s Leading Airport at the World Travel Awards 2025; Julius Nyerere International AirPort—— Tanzania!!! 

Arusha in a minute. Tuonane badae kwenye KONGAMANO LA VIJANA 🇹🇿 

JUM ❤️
558 28587
JUM.
783 12219
Nitumie fursa hii kama Mwenyekiti wa Bodi ya Shule ya Msalato Secondary School iliyopo Dodoma kuwapongeza wahitimu wote wa Kidato cha Sita, Uongozi wa Shule na Walimu kwa matokeo mazuri yanayoendeleza sifa za kihistoria na jina jema la Shule yetu ya Msalato. Kongole pia kwa wazazi na walezi kwa mafanikio haya. 

Aidha, kwa upekee wake niwapongeze pia walimu, wanafunzi na uongozi mzima wa shule iliyopewa jina langu na viongozi wangu wa Kisarawe- Pwani, Jokate Mwegelo Secondary School kwa kuendeleza falsafa njema ya Tokomeza Zero Kisarawe kwa vitendo!!! 

Nawatakia mabinti wote kila la kheri na hatua zinazofuata katika kujiendeleza ❤️❤️❤️❤️❤️❤️
241 7481
Jana nilipata wasaa wa kutembelea Chuo chetu cha UVCCM Tunguu aka DAMBWE kilichopo Zanzibar na kukagua maendeleo ya madarasa, mabweni na miradi ya kimkakati.

Nilifanya ukaguzi huo nikionyeshwa maendeleo hayo na Naibu Katibu Mkuu UVCCM Zanzibar, Ndg. Abdi Mahmoud Abdi ambapo alinionesha miradi ya shamba la mahindi, nyanya, pilipili hoho na miti ya matunda ikiwemo papai ambayo hii yote imeanza kuleta faida kwa kuuza kwa wananchi. 

Pia nimejionea maendeleo ya mradi wa ufugaji wa kuku wa mayai ambayo yanauzwa kwa Wananchi na tayari UVCCM Afisi Kuu Zanzibar imekaribisha wananchi kununua biashara hizo.

Nimewapongeza viongozi wote kwa kusimamia vizuri fedha za ujenzi wa chuo hicho na zaidi Mwenyekiti wetu Cde. Mohamed Ali Kawaida kwa kuhamasisha viongozi wa Serikali na Chama na wadau mbalimbali wa chuo chetu kushirikiana nasi katika kufanya maboresho haya tunayoyaona. 

@comrade_kawaida @abdimahmoud @uvccm_tz @uvccm_zanzibar
133 1396 64165