Activity Report

Hamadi Ally Seneda
Hamadi Ally Seneda
@madeeali
Followers: 3,098,033Posts: 792Following: 451
Musician
View all posts from @madeeali
Naomba tumtatag na kumpongeza alichokifanya ... na mwambieni namtafuta ili niinunue hii picha ....yani huyu nimimi kabisa hajanikosea....
130 8006
Verce moja ya Babu verce tatu za Roma...😂😂 Babu nyoko wewe  Enzi hizi... 

Nenda kasikilize Ngangali au Mtoto wa geti kali 😂😂😂 

(Tbt)
119 6710 70980
MANZESE !!!
112 8259
Hizi ndio zile Movement tunazotaka kuziona nakuzisikia kwenye mziki wetu... Hey Wanahabari msisubiri @rayvanny afumaniwe... au apigane na mke wake .. au anadaiwa hela na mtu fulani... muandikeni Mpongezeni Msifieni kwenye Majarida yenu juu ya hili tukio... Kama vile mnavomuandikaga kwenye UDAKU.. Hii itafanya wanamuziki wengi waongeze juhudi yakufanya kama hivi... na mwisho tunakua tunazidi kuutangaza mziki wetu pembeni Mwa mipaka ya Nchi yetu.. Hey CHUI Congratulation💪💪 keep it up💪
211 6425 73631
Kama kweli wewe kimbelembele wakujua maeneo yawatu Tuambie Hapa ni Wapi? 

Kuna 20 imezagaa zagaa🤝
109 3648
Unaweza ukawa unaogopa kwenda kwenu ili wasikuloge... Kumbe wenyewe wamekuloga Usiende😂😂

(Naenda Leo Kismatui Tanga😂)
51 2336
Kabla biashara yenu haijakua biashara.. mwana alikua anafanya hiyo biashara... je nibiashara gani hiyo???

@aytanzania heri ya siku yakuzaliwa bro.. ishi sana...
119 7414
Nafikiri mimi nimmoja kati ya wale wanaowajua sana.. sina Mashaka na nyie kwenye swala la UONGOZI... Nimekaa na nyie wote watatu kwazaidi ya miaka 15+.. Nnakila sababu yakusema Maeneo mlioyachagua kwenda kuwaomba Ridhaa ya kuwaongoza watakua wamepata Bahati sana, hata @ccmtanzania imepata bahati kua na nyie,so nawatakia kila lenye Kheri familia yangu .. @babutale @malkiakeysha @dogojanjatz 

(This is TIP TOP connection baby💪) OCTOBER TUNA ✅
99 2143
HASK ...
40 2704
Unampigiaje Mungu na Kiswaswadu wewe😂😂 na umesema unataka kumuona😂  nenda pale @nengatronix kachukue Tambo kubwa ntalipia.. then twanga Video call uwaone wana .. kina Ngwea .. Geez.. Mez B .. Abdul Bonge Ruge .. Zilla..Magu.. Mkapa Mwinyi Nyerere na uwaonyeshe KIBAHA ilivopendeza ..
45 7323 42723
42 2549
Yani kuanzia jana mpaka hii leo kama sio mjanja unaweza kudhania watanzania wote niyanga😂😂 kila mmoja anaisifia kwanamna yake🤣..nimemkuta mjomba @jemedarisaid anaandika anafuta, @mzeewajambia  yeye hajataka shida kashamwaga maua yake kwa yanga😂,nimemkuta @tundamantz studio anaandaa wimbo unaitwa @yangasc kiboko yao😂 nimemkuta Mangungu na Jaribu tena kwenye duka la @shaffihdauda_tz wananunua jezi ya pacome no 26😂 Mo kapita sasa hivi hapa kwa @makjuice_tz anakunywa nakuyasifia maji ya @gsmgroupofcompanies kua nimazuri hakuna maji kama haya😂  yule @geoff_lea mpaka sasa kashawasha sigara ya 21 nahaziwaki vile vidole vinatetemeka, @hansrafael14 hana shida anacheka tu,yule bonge anamalizia kukichoma kile wanakiitaga kibegi chamakombe😂😂 kifupi kuanzia leo Tanzania na Dunia wote ni Yanga 

Na Arsenal kwambaaaaaaali😂
527 19206