Activity Report

Yvonne Cherrie
Yvonne Cherrie
@monalisatz
Followers: 6,056,647Posts: 5,469Following: 517
Founder, WISAC Awards Director @mwafrikaasilia Project Manager | Strategic Visionary Advocate for Women in Arts & Sports Mama | Leader | God-Fearing
View all posts from @monalisatz
Wana SIMBAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA

Waiteni UTOPOLO wajue kwamba TUMEVUKAAAAAAA
2870 252738 11273762
Zimebakia siku 14 michuano ya CHAN ianze ni kwa mara ya kwanza kufanyika Tanzania na Afrika Mashariki.

Mechi ya ufunguzi kupigwa dimba la Benjamin Mkapa kwa Taifa Stars kucheza na Burkina Faso. 

Michuano hii kuruka mwanzo mwisho kupitia AzamSports1HD.

Mapema lipia kifurushi cha kisimbuzi chako ili usipitwe na michuano hii.

#CHAN2025 #azamtvsports
0 3
Mwaka jana ulikosa Canton Fair?
Usijali! Mwaka huu TANZANIA WOMEN CHAMBER OF COMMERCE ( TWCC ) inakupeleka China! 🇨🇳
Jiunge nasi kwenye Ziara ya Kibiashara China – Oktoba 12–22, 2025
👉 Tembelea viwanda
👉 Shiriki Canton Fair Phase I
👉 Panua mitandao & masoko ya kibiashara

💰 Gharama:
– Kabla ya 30 Agosti: $2,500
– 1–20 Septemba: $2,700
Zinajumuisha: Visa, nauli ya ndege kwenda na kurudi, malazi, usafiri wa ndani, na kiingilio Canton Fair

📞 0757 823 982 | ✉️ info@twcc-tz.org
@tzwomenchamber_twcc 
#TWCC #ZiaraChina2025 #CantonFair2025 #WanawakeWajasiriamali #BiasharaKimataifa
3 3 6002
Huna sababu ya kukosa kutazama michuano ya CHAN kwa shilingi 1000 tu unaingia uwanjani unatazama fainali hizi.

Michuano hii itaanza Agosti 02, kwa mechi ya ufunguzi kuchezwa katika dimba la Benjamin Mkapa kwa wenyeji Taifa Stars kucheza  dhidi ya Burkina Faso. 

#CHAN2025
0 3
41 3
Kila la kheri Twiga Stars, najua mechi hii mtashinda na mtafuzu kuingia robo fainali. Tupo tunawatazama na kuwashangilia kupitia @azamtvtz
0 3
@princedullysykes
33 1912 48083
WAFCON inaendelea leo kwa mechi za Kundi C.

Saa 4:00 usiku, Twiga Stars kukipiga na Afrika Kusini.

Twiga Stars walianza kwa kupoteza mechi ya ufunguzi wakati Afrika Kusini walianza kwa ushindi. Twiga Stars wanahitaji kushinda mchezo huu ili kuweka hai nafasi ya kufuzu kwa hatua ya robo fainali.

Mapema saa 1:00 usiku, Ghana kucheza na Mali, 
Ghana alipiga magoli mawili mechi iliyopita wakati Mali alishinda goli moja mechi iliyopita.

Je, Mali kuendelea kukusanya ushindi ama Ghana kurekebisha makosa na kupata ushindi?

Kwa kifurushi cha shilingi 28,000 unatazama michuano hii

#WAFCON #Twigastars
0 3
Nusu Fainali Kombe la  Dunia la Klabu.

Katika dimba la MetLife, Fluminense ya Brazil kukipiga na Chelsea.

Mechi hii kuruka mbashara kupitia AzamSports2HD. 

Je, ni Fluminense ama Chelsea nani kutinga fainali?

Kwa kifurushi cha shilingi 28,000 unatazama mchezo huu. 

#Fluminense #Chelsea #Azamtvsports
4 3
Michuano ya AFCON kwa Wanawake (WAFCON) inaendelea leo Jumatatu.

Saa 4:00 Usiku Twiga Stars wanaanza michuano hii kwa kucheza na Mali. 

Mechi hii itaruka mbashara kupitia AzamSports1HD.

Ila mapema saa 1:00 usiku Afrika Kusini kukipiga na Ghana

Mchezo huu utaruka mbashara kupitia AzamSports3HD

Mechi hizi kuonekana kwa Tanzania Pekee.

#WAFCON #TwigaStars
4 3
Happy Sunday.

@nyotabigi
21 3 27921
Fainali za AFCON kwa wanawake (WAFCON) kuanza kupigwa wikiendi hii nchini Morocco.

Twiga Stars wakiwa Kundi C, pamoja na Afrika Kusini, Ghana na Mali watafungua dimba na Mali.

Kwa kifurushi cha Shilingi 28,000 unatazama fainali hizi. 

Michuano hii kuonekana kwa Tanzania Pekee. 

#WAFCON #AzamTVSports
2 3