Activity Report

Herry Sameer Rajab Rajab
Herry Sameer Rajab Rajab
@mrbluebyser1988
Followers: 2,500,098Posts: 2,850Following: 231
Rapper/ singer /Actor NYANI ZEE(jina la kuheshimiwa)..
View all posts from @mrbluebyser1988
@jay_maumau  @viqueevique
 #comingsoon
7 238
🎉 JULY 27 – PARTY KUBWA BAADA YA MARATHON! 🎉
Baada ya NBC Marathon… sehemu ya burudani ni moja tu!
👉 Southern Empire Hotel - Dodoma!

🔥 Usiku wa moto ukiongozwa na Mr. Blue, staa wa Hip Hop Tanzania! @mrbluebyser1988 
🎶 Muziki, vibes kali, vinywaji, na burudani isiyosahaulika!

📍 Save the date – 27 July
⏰ Baada ya NBC Marathon
📌 Southern Empire Hotel, Dodoma

Kama hujafika, umekosa!
#SouthernEmpireVibes #MrBlueLive #DodomaEvents #NBCMarathonAfterParty #TukutaneSouthernEmpire
18 642
@chrisscollection_tz
131 6559
291 10370
Ajabu la nane la dunia 
@eaea_awards_inc
90 1131
Kwa miaka  22 katika muziki @mrbluebyser1988 anazawadi ya Ngoma 22 mwaka 2025

Powered by @lampard_electronicss kiboko ya Home Appliance’s 🇹🇿🤝

📍Kariakoo Msimbazi

Free Delivery Popote pale Ulipo ndani na Nje ya Tanzania 🇹🇿
WhatsApp & CALLs
0715115174 & 0754382249
#welcome #hisense 
#lampardelectronics
28 1452 28664
Haya!!! haya !!!
Zawadi zinaendelea mashabiki zangu  na hii ni zawadi yenu pia kutoka kwenye box la zawadi  22 mzigo upo kwenye digital platfom zote !!
@darassacmg255 na @iamlavalava 
#ana
Ahsanteni mashabiki kwa kunissuport kwa miaka 22 mungu awabariki sana !!;
108 2659 41881
Mmoja kati ya watu wenye kumbukizi zilizoshiba kumuhusu #CaptainWaGemu ni @mrbluebyser1988 ambaye katika maisha yake ya muziki Captain ana mchango mkubwa sana! • #JahaziHD •
43 4878 111016
Happy birthday to me !!
639 11659 109745
Happy birthday to me ...
Mungu ni mwema sana
153 2584 41687
Mikono juu kama hufagilii mambo ya kishamba!!
@aytanzania
133 7143
Bado nalifungua box la zawadi zenu mashabiki 
Na hili ni box la 4 kwenye mabox 22 ya zawadi kwa mashabiki zangu  woote !!!ahsanteni sana kwa kunilea kwa miaka 22 

Na hii ngoma ni maalum kwa wanaopitia kipindi kigumu kwenye maisha .
Hakika changamoto ni za muda tu 
Na mambo mazuri yako mbele

Mungu atawashika mikono na kila kitu kitakuwa sawa inshaalah 

Usikate tamaa na kujiona km ni mwisho wako!!! hapana!!!! No !! kukata  tamaa ni marufuku kabisa na kabisa
Ushindi lazima!!!!

Audio @sheddyclever_ 
Video @director_deemoolah 
Mzigo upo youtube tayari..

Ahsanteni mashabiki kwa kunilea kwa miaka 22 

Mungu awape maisha marefu.🙏🙏
Mzigo upo youtube tayari
122 2354 26720