Activity Report

Malikia Wa Mipasho
Malikia Wa Mipasho
@officialkhadijakopa
Followers: 737,719Posts: 483Following: 1,655
Official Instagram Account Of Khadija Kopa. Musician Taarab Singer || Entrepreneur || Actress || Award-Winning 🏆|| Artist's Mother @officialzuchu
View all posts from @officialkhadijakopa
Tunatamba nae mgombe wetu @ccmtanzania  @tanzaniaonetheatre
385 362 26045
Ukweli Usio na Mipaka... Stay Tuned! 📺 #MMB160

#usikanyagewayawadstv🔌⚡️
10 167 11774
Malkia wa mipasho Marekani hayupo', Ugiriki hayupo, China hayupo nipo hapa Tanzania We huogopi @qassimugama @ramachui_tiger @tanzaniaonetheatre @officialzuchu @ruqya_omar_kopa @nillah206  @shanny.ramadhani  @bi_mzury
325 8529 181119
Tunatiki october @tanzaniaonetheatre
33 152 4884
*KILA MTU ANAISHABIKIA* *CCM* *KWA STYLE YAKE*

Kitu muhimu wananchi wanachopaswa kufahamu ni kuwa huu ni mwaka wa uchaguzi; kelele, mivutano na shutuma zisizo na maana ni sehemu ya maisha.

Hakika katika jicho la tatu; jicho la kutulia na kutumia akili nyingi - ni wazi Upizani dhidi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) umezidi kuzikwa.

Leo wapizani hawapigi tena kelele za No Reforms No Election, leo wapizani wameungana na kushangilia kelele za Balozi Kada wa CCM Ndugu Humphrey Polepole, anayelia na Chama chake Chama Cha Mapinduzi. Anacholilia yeye mwenyewe ndiye anayejua.

Ukimsiliza Ndg. Polepole halili ujenzi wa Taifa hili, haangazii miradi iliyokamilishwa na inayoendelea, haangazii uchumi na uboreshwaji wa miundombinu mbalimbali, hatuambii juu ya elimu bure na mikopo ya elimu ya juu kufika kwa wakati kwa wanafunzi.

Ndugu Polepole ameridhika na utendeji kazi wa Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Jemedari Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa ngazi za kitaifa, bila shaka hana kesi ya maendelo bali ana kesi ya yanayoendelea ndani ya chama chake.

Watu wa 'Reform' pasipo kujigundua wameingia kwenye mtego na kushangilia pale Ndugu Polepole anapolia kuimarisha siasa za ndani ya CCM, kuimarisha maadili ya CCM na yale yaliyo ndani ya CCM anayoona yanahitaji kurekebishwa. Pasipo kujitambua 'Reform' wanaungana kuijenga CCM; hii ndio nguvu ya CCM.

Kelele zote zimekufa za Mahakamani na 'Reform' kelele utakazozisikia sasa ni CCM. Hii pia ukiangalia kwa Ndugu Askofu Gwajima utaiona upepo wa kelele ni wa kichama na si kitaifa. Leo hii wote tunapambana na Katiba ya CCM, hakika Wahenga hawakukosea waliposema CCM BABA LAO, wamefanikiwa KUZIMA ZOTE NA KUWASHA MOSHI WAKIJANI masikio macho harakati zote zinaangazia CHAMA TAWALA WAKIELEKEA OKTOBA KUTIKI ✅.

The Diplomat_Tz 🇹🇿
504 906
310 6138 96442
Asanteni sana familia yetu kwa kutufikisha 10,000 followers kwenye TikTok! 💚 Tanzania One Theatre (TOT) inawashukuru kwa upendo wenu wa dhati.

Kila mmoja wenu ni sehemu ya safari hii. Tunawapenda sana na ahadi yetu ni kuendelea kuwapa kilicho bora zaidi! 🙏🏽🔥

#TOT10K 
#AsanteTOTFamily 
#RoadTo20K
15 384 8960
Kwa majonzi makubwa na mioyo iliyojaa huzuni,
Tanzania One Theatre (TOT) inasikitika kutangaza kifo cha msanii mwenzetu mpendwa,
Shadya Othman, maarufu kama Shadya Shombeshombe,
ambaye ametutoka mchana wa leo.

Tumempoteza sio tu msanii, bali nguzo muhimu katika tasnia ya sanaa na burudani nchini.
Shadya alikuwa mwenye kipaji cha kipekee, mwenye ucheshi, moyo wa upendo na aliyetia faraja kwa wengi kupitia sanaa yake.

Msiba huu ni pigo kubwa kwa familia, marafiki, mashabiki, na jamii nzima ya wasanii.
Tunatoa pole za dhati kwa familia ya marehemu, jamaa, marafiki, na wasanii wote walioguswa na msiba huu mzito.

Utaratibu wa mazishi utatangazwa mara baada ya mipango kukamilika.

Lala salama Shadya Shombeshombe,
Mwanga wa kazi yako utaendelea kung’aa milele.
Pumzika kwa amani.🙏🏿
128 3331
179 2754
Tunatiki
411 631
Eid Mubarrak @ikulu_mawasiliano
292 470
Happy hirthday mwanangu Mwamvita Mungu akupe maisha marefu yenye kheir @mwavitamwavita
20 1230