Activity Report

𝐒𝐇𝐄𝐓𝐓𝐀
𝐒𝐇𝐄𝐓𝐓𝐀
@officialshetta
Followers: 5,954,201Posts: 387Following: 2,656
Business | Songwriter Founder & President of @sawa_tanzania Owner of @patamarketing +Bookings:shettamusic@gmail.com📩 Subscribe | Share | Download👇
View all posts from @officialshetta
Wewe ndo Mama Qailah… Ofcoz Mimi ndo Baba Qailah 🎶🎵
149 19019
CHIPUKIZI WA CCM - ELIMU NA MATUMAINI. 

#Repost @ccmtanzania 
・・・
📌📌 MWENYEKITI WA CCM TAIFA DKT SAMIA AKITETA JAMBO NA VIONGOZI WA CHIPUKIZI WA UVCCM TAIFA

Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan akiteta jambo na Viongozi Wakuu wa Chipukizi Taifa Akiwemo Mwenyekiti pamoja na Makamu Mwenyekiti wa Chipukizi, Wakati wa Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar yaliyofanyika katika Viwanja vya Maisara, Zanzibar tarehe 10 Januari, 2024.

#VitendoVinaSauti
#TunaendeleaNaMama
144 9477 203371
Anaitwa Qayllah Nurdin Bilal - Inshallah kwenye kura umeomba, tuwaachie wajumbe waamue !! Inshallah ikawe kheri mwanangu 🙏 @officialqayllah
2342 46106 771845
Hakikisha Watu wako wa Muhimu hawakutani na watu wako wa Karibu.
37 1661
Alhamdulillah +1 

Happy birthday 🎂 To me !
474 11446
Ukisema Usiseme sana…. 💼🖊️
134 7723
BILA CHAMA CHA MAPINDUZI… SIJUI INGEKUAJE?? EBU TUKIHESHIMU HIKI CHAMA KWA KAZI KUBWA INAYOFANYIKA! BIG UP CCM 

HONGERA KWA MWENYEKITI WETU WA CHAMA DR. @samia_suluhu_hassan CHAMA KIPO IMARA. 🤛🏽🏋🏽‍♂️ @ccmtanzania ✅

@mnyama.barbershop Umenyoosha mwanangu !
336 1878 51139
Jukumu la Kuhakikisha Usalama na kila Mtu anakua salama katika jamii yetu ni kazi ya kila mmoja kwa nafasi yake, Tuunge mkono juhudi za Serikali katika kupinga na kutokomeza Ukatili wa Kijinsia na Manyanyaso Dhidi ya watoto Tanzania 🇹🇿 

#SAWAINITIATIVE
#SAWACLUBSFORSAFESCHOOLS
#SAWASAFEHOUSE

 @sawa_tanzania 📌
61 1238 22976
Haya watia nia & wagombea Studio hiyo nimeipata, Mganga bingwa udiwani na Ubunge, Misa ya kwanza tu umeshinda. Uwe mvumilivu tu ! Zingatia Neno MVUMILIVU Unamtaka njoo DM 🤣🤣🤣
381 7386 276012
WATU 📌
37 1408 22154
Na Kaka zangu Ally Jambia, Hassan Basra, Said Shaban Tingisha, Bosco Wangoma, Ambokile, Epyana Mwangobora, Tusi, 

HAYA MIMI NIAMBIE NIPO WAPI HAPO? NIMEVAA NGUO GANI? UKIPATIA KUNA ZAWADI…. 

ILALA MCHIKICHINI 📌 MWAKA 2001 ! #throwbackmemories📷❤️
339 11727
INSHALLAH IKAWE KHERI - MTIA NIA YA KUGOMBEA UDIWANI KATA YA MCHIKICHINI ILALA !! 🤲🏻🤲🏻

NURDIN BILAL ALLY JUMA - (SHETTA)
549 22471