Activity Report

Shilole
Shilole
@officialshilole
Followers: 11,029,757Posts: 7,623Following: 691
Malaria Ambassador @wizara_afyatz Restaurant owner - @shishifood For catering :0716101721 /0676669708 for Bookings: officialshilole@gmail.com
View all posts from @officialshilole
Mama yangu, Rais wangu ambaye leo unakwenda kuwa Mwenyekiti wa Chama changu, @samia_suluhu_hassan : mie kweli nilikuwa na nia ya kukukopesha kabisaaaaa, lakini naona sasa mambo yamebadilika. Umeingia kwenye historia kwa kuwa Mwanamke wa kwanza kuwa Rais Afrika Mashariki, na leo histori a nyingine utaandika kwa kuwa mwanamke wa kwanza kuwa mwenyekiti wa Chama imara cha siasa @ccmtanzania : SASA NAOMBA WEWE NDIYE UNIKOPESHE.☺️
.
.
Natanguliza pongezi nyingi kwako nikiamini leo wajumbe watakupa kura za ndio, sina shaka utaongoza chama chetu katika namna tunayotamani. Nikipata nafasi ya kuonana na wewe nitakueleza mimi na wasanii wenzangu tunayotamani kuona ndani ya CCM : LAKINI KABLA YA HAYO WASANII, NARUDIA TENA NAOMBA NDUGU MWENYEKITI UNIKOPESHE ☺️.
.
Kidumu Chama cha Mapinduzi
644 11395
MAMA LISHEEE NA SAMIAA TUNAANZIA KIGAMBONI !

Ni Jumapili Hii! Mama Lishe  na Baba Lishe  Wenzangu wa Kigamboni Tukutane pale Uwanja wa Mji Mwema ; Nimewaandalia Mambo Mengi Mazuri ya kustawisha Mazingira Yetu; Biashara Zetu na Uchumi wetuu ; na Burudani za Kutoosha! Hii si ya Kukosa 

Mwambie Mama Lishe Mwenzako! Mama Lishe na Samia ; Tunakuja Mtaani Kwako

#NISHATISAFINDIOUJANJA

#MamaLisheNaSamia #MamaLishe #TunakujaMtaaniKwako
267 3
Alooooooooo Pilau tamuuu jaman 😜😜ila tu usiwe unadaiwa vikoba na kausha damu😂  unaweza kuhis unakula makande😂😂😂🙌🏼🙌🏼🙌🏼
56 3 26344
Chama  changu cha Mapinduzi kimeendelea kufundisha Dunia kwa vitendo.

Chama ambacho kinazingatia mazingira na nyakati ni chama cha kuigwa.

Leo  mwenyekiti wetu ameendelea  kuweka rekodi  Mpya kwa chama chetu kwa kuendesha mkutano mkuu kwa njia ya kidigitali

Hongera Rais wetu na Mwenyekiti wetu wa CCM, sisi wana- TABORA zawadi yako tutakupatia Oktoba kwa sasa pumzika kazi tuachie sie. @ccmtanzania
1437 4449 149491
Mmekulaaa??????😜😜
32 3 11504
Ijumaaaa mubarak inasindikizwa na birian tamu 😜🌶️
25 419 10693
Nyieeeeeeeee! Alooooooo 😜😜😜🌶️🌶️🌶️
39 3 16953
LUNCH Flaniii hivi Amaizing 😜😜😜🌶️👌 Masaptasaptaaa

Kulakujigalagaza kunywa kujimimina
171 3665 83299
Ukweli ni kwamba maendeleo ni matokeo ya kufanya mambo kwa uendelevu kwa kiinglishi wenyewe ndo mnaita consistence, sasa Afrika tuna shida moja kubwa! Unakuta kiongozi kakuta jambo zuri limeanzishwa na kiongozi aliyepita eti kwasababu tu anaona akiendelea nalo sifa zitaenda kwa aliyeanzisha basi analipotezea!! 

Mwisho mnajikuta mna miradi kibao ambayo inaishia njiani kwasababu tu ya siasa za bei nafuu, ukweli hii ni moja ya jambo linafanya nimpe sifa Mama Samia, aliposhika usukuni hajaangaika na sifa za kijinga yeye akili yake kaiweka kwenye maslahi ya Nchi, kakomaa na maproject yote; aliyoanzisha yeye na ya Uncle Magu mama hili la SGR na kayakamilisha…

Bado naamini tunahitaji kiongozi kama huyu asiye na ubinafsi na asiyefagilia siasa ya bei rahisi bali anaangalia maslahi mapana ya Nchi.
1373 5795 146884
Ngoja sasa nishibe Vuruga tamuu nikafanye challenge yao
Watu tulishasisima juu ya sindano sembuse vitair vya GYM😂😂😂😂🙌🏼🙌🏼
141 4948 95719
Alooooooooooo! Nyieeeeeee na hali ya hewa hii😜🌶️
44 3 25605
Ila vuruga ya shishifood ni tamuu inakaugwadu😜😜
13 3 15938