Activity Report

๐‘๐€๐‡๐Œ๐€ ๐ƒ๐€๐”๐ƒ
๐‘๐€๐‡๐Œ๐€ ๐ƒ๐€๐”๐ƒ
@rahma_facebeat
Followers: 711,900Posts: 1,123Following: 507
Business | Entrepreneur | Marketing Researchers Founder and Owner of @rahma_daud06 For business inquiries ๐Ÿ“ฉ
View all posts from @rahma_facebeat
Sifa ya uumbaji,Hekima na utu namrudishia Mungu wangu #๐Ÿ™
Kaka Mwenye wimbo barikiwa zako na kamwe usipungukiwe,always disappoint them #life 

Kesho tuenjoy mziki na biashara tukutane dukani Kigamboni tungi mnadani.
133 1863 81399
Siku nyingine usirudie kosa la kukutanisha watu wako wa karibu na watu wako wa muhimu hawapaswi hata kujuana,Ishi kwa code coz sio vizuri kawaida kukutana na Bora,Mbaya ni wewe mwenyewe unachanganya mambo ya sebleni na chumbani,Ongeza na hii Add hapo pia usitumie kiasi kikubwa cha pesa tofauti na kiasi unachoingiza hakuna majini kwenye uwekezaji ni Mindset tu #๐Ÿ˜‚ Uamuzi ni wako uvae Gold au Bati #๐Ÿ˜Š
26 966
Unajiuliza kwanini ufanikiwi kumbe Mama yako haujawahi mpelekea zawadi akatabasamu tu akasema โ€œBARIKIWA SANA MWANANGU,UZIDISHIWE ULIPOTOA M/MUNGU AKAKUFUNIKE KWENYE MABAWA YAKE WABAYA WASIKUONE.โ€lakini Kuna Mtu ukiipa hata Million anasema sasa hela gani hii #๐Ÿ˜‚ na anaona kama kumpa ni lazima badala ajipe na uko hapo kutimiza mapelekesho ya Mtu asiekuwa Mama yako nyieee kweli tumeumbwa tofauti binadamu,Mungu awafunue macho muone hali za wazazi wenu kwanza kabla ya kuhadaiwa na Jiji May I get an Amenโ€ฆ..Beautiful 

African Fabric,Tuna madera ya aina zote.
Tsh 18,000 rejareja na Tsh 14,000 jumla.
Namba ya dukani 0767-009006
Kigamboni tungi mnadani 
#RahmaDaud
11 267 6505
Hakikisha muonekano wako unafanana na Bank account yako ukiona havifanani umelogwa #๐Ÿ˜‚ huwezi pewa muonekano ukanyimwa riziki kamwe #kiroho zaidi muonekano mkali upo kwa wenye ufalme mkali chukua hiyo #๐Ÿ˜‚ sali sana acha jeuri Debe tupu #๐Ÿคฃ kama utani ila ndio ukweli #water kid repeat it.
#mashaallah
40 562 9400
Itโ€™s full moon babe.#Fullmoon
20 327 8717
Usingoje kuvaa vitu vizuri ukifika tu Dubai,muonekano mzuri una attracts good energy na siri usiyoijua nguo mpya zinaleta new aportunities in spiritual smell good,look good n always think positive nothing is impossible mtu wangu train ur beautiful mind about Positive thought brings luck into life,kwa ufupisho ipo akili mazoezi ya kuona mazuri ya watu ili na yako yaonekane coz maisha ni Energy unachoona kitaonwa โค๏ธโค๏ธ #foryou #fyp #life #mindset 

2Pc ipo dukani katika rangi mbalimbali na size.
Tsh 60,000 tunapatikana Kigamboni tungi mnadani.
โ˜Ž๏ธ 0767-009006
21 434 10256
Kumbuka umeomba ukubwa wa riziki,usishangae ni kawaida kuja na Wivu,fitina,Husda na hasadi sababu popote penye riziki hapakosi fitina hata kama upo kwenye kazi au biashara alafu haina hizi tabia kimbia riziki yake ngumu haishtui watu bado kawaida sana.

REMEMBER YOU ASKED FOR GROWTH.
DONโ€™T BE SURPRISED WHEN LIFE CHALLENGES YOU.
Happy 7/7 Day.
#lifestyle #mindset #growth
46 640 9020
Morning my beautiful followers.#fyp #foryou #viral
7 144 4933
Kuwapenda tu ndio kitu najua ha,be unique and stay unique all the time.

Moringa na Mwani tuna Supliments za vidonge box Tsh 30,000 each.#fyp #foryou #viral
13 197 9120
Na pia hawataki uwe na Mtu mwingine,kazi kwako kusoma alama za nyakati na kukimbia uende na Muda before itโ€™s too late.

Au uulinde Moyo kwa kulijua penzi la karli na sign za kuhitajika na huyo Mtu coz love is beautiful ukimpata Mtu sahihi na ni msiba huru ukikosea njia ๐Ÿ˜‰ choose wisely babesโ€ฆ.โค๏ธ
#fyp #foryou #life #lifestyle #mindset
78 1085 16023
Usiku mwema mwana mkoleni.#fyp #foryou #viral
41 365 13266
Hakikisha furaha yako haitegemei watu,narudia tena hakikisha furaha yako haitegemei watu maana wakijaribu kuku switch off wanakukuta on top,Hakikisha thamani yako iko kwako mwenyewe isidepend on othersโ€ฆ.Validation seekerโ€™s poneni #Jeshi la Mtu mmoja ndio nguvu kama bado una vikundi Vya marafiki trust me youโ€™re validation seekerโ€™s people who walk alone are very powerful and strong #โค #knowyourworth๐Ÿ‘‘
31 904

Similar Profiles You May Like

Multibrend maฤŸazalar ลŸษ™bษ™kษ™si!'s profile picture

Multibrend maฤŸazalar ลŸษ™bษ™kษ™si!

@arzumbeauty_house
541,793 followers
View Multibrend maฤŸazalar ลŸษ™bษ™kษ™si!'s Instagram profile with 541,793 followers and 14942 posts
CHOIWOOSHIK's profile picture

CHOIWOOSHIK

@dntlrdl
9,324,848 followers
View CHOIWOOSHIK's Instagram profile with 9,324,848 followers and 436 posts
Mahmoud Sulaiman's profile picture

Mahmoud Sulaiman

@mkahrabaa1010
4,715,627 followers
View Mahmoud Sulaiman's Instagram profile with 4,715,627 followers and 936 posts
MYNTRA BEAUTY's profile picture

MYNTRA BEAUTY

@myntrabeauty
921,941 followers
View MYNTRA BEAUTY's Instagram profile with 921,941 followers and 4443 posts
's profile picture

@parfum_city
22 followers
View 's Instagram profile with 22 followers and 6 posts
๐‘ท๐’‚๐’˜๐’‚๐’ ๐‘ฉ๐’‰๐’‚๐’•๐’Š โ™›'s profile picture

๐‘ท๐’‚๐’˜๐’‚๐’ ๐‘ฉ๐’‰๐’‚๐’•๐’Š โ™›

@pawan_bhati_official
100,305 followers
View ๐‘ท๐’‚๐’˜๐’‚๐’ ๐‘ฉ๐’‰๐’‚๐’•๐’Š โ™›'s Instagram profile with 100,305 followers and 1909 posts
PURPURE |TIENDA DE MAQUILLAJE๐Ÿ’“'s profile picture

PURPURE |TIENDA DE MAQUILLAJE๐Ÿ’“

@purpuremakeup
423,872 followers
View PURPURE |TIENDA DE MAQUILLAJE๐Ÿ’“'s Instagram profile with 423,872 followers and 2300 posts
๐Œ๐€๐Š๐„๐”๐ ๐€๐‘๐“๐ˆ๐’๐“ ๐ˆ๐ ๐„๐Š๐ˆ๐“๐ˆ's profile picture

๐Œ๐€๐Š๐„๐”๐ ๐€๐‘๐“๐ˆ๐’๐“ ๐ˆ๐ ๐„๐Š๐ˆ๐“๐ˆ

@sanola_studios
9,435 followers
View ๐Œ๐€๐Š๐„๐”๐ ๐€๐‘๐“๐ˆ๐’๐“ ๐ˆ๐ ๐„๐Š๐ˆ๐“๐ˆ's Instagram profile with 9,435 followers and 2144 posts