Activity Report

Shamsa Ford
Shamsa Ford
@shamsaford
Followers: 5,800,500Posts: 3,565Following: 1,568
Actress, Business woman, CEO of @madira_pambe 0673171010 Tiktok @shamsaford01 HATUPO FACEBOOK
View all posts from @shamsaford
😂😂 @mlilotz
208 6949 136536
👏🏻👏🏻
 Kope zinanikomesha ila nitakomaa nazo😂😂
35 1643 37324
Available @madira_pambe 0673171010
3 127 5837
Ua pendwa limerudi tena kwa wale waliokosa @madira_pambe 
0673171010
HATUPO FACEBOOK
4 141 6597
Nishaongea mengi .Kikubwa nazidi kukusisitiza kukilinda kipaji chako.Hata itokee nini kamwe usikubali kutoka kwenye njia zako.KIPAJI kinatesa sana .Kuna ambao watatokea kuchukizwa na kipaji chako hao watafanya kila njia kukuvunja moyo kwa  njia yoyote.
 Umeweza sana mume wangu ila naamini kwa uwezo ulionao bado watanzania wanakudai sana naamini huu ni  mwanzo mzuri ongeza bidii hakuna kuridhika.MUNGU akusimamie hussein,Mungu azidi kukupandisha daraja la juu ufike kule unapotaka kufika mpaka wale wanaokuletea dharau wajue kwamba Mungu hajamuumba mwanadamu kwa bahati mbaya na muda ukifika hakuna wa kuzuia🥹🙏🏻
 NAJIVUNIA WEWE MUME WANGU KAMWE USIKATE TAMAA KAMA SIYO LEO NI KESHO MUNGU NI WETU SOTE .Nakupenda sana❤️❤️❤️❤️
 BYE TUFANI @mlilotz
51 1372 58156
Tupo wazi @madira_pambe 0673171010
6 134 6384
Najivunia nyie jamani 🥹🥹🙌🏻
@kemmyjulieth mama yangu ,my role model tangu naingia kwenye sanaa nazidi kujifunza vitu kutoka kwako.SANAA yako ni kubwa mnooo mama .Mungu akutunze 🙏🏻
 
  @mlilotz mume wangu ,hussein ,mlilo🙌🏻🙌🏻..Najivunia wewe mume wangu sitochoka kusema hadharani🙌🏻🙌🏻.Mungu akilinde kipaji chako 🥹🥹.Nimelia sana leo 🙌🏻🙌🏻
 TUFANI TUFANI TUFANI🙌🏻🙌🏻🙌🏻
192 7996
Ninachoendelea kujifunza kwenye haya maisha watu wengi wanachukiwa na kuonekana wabaya kutokana na binadamu wenye roho chafu,wenye sumu kali ambao kazi Yao ni kufitinisha watu wasielewane..My dear maisha yetu ni mafupi sana kamwe usimchukie mtu kwa maneno ya kuambiwa jionee mwenyewe kuna binadamu wana roho mbaya moo na sumu kali🙌🏻🙌🏻
46 2310 42575
Mzigo mpya 
Tunapatikana mwananyamala komakoma
HATUPO FACEBOOK 
0673171010
2 101 5914
😍😍😍
23 1506 21651
Sipo FACEBOOK JAMANI kila siku nawatangazia hamuoni matangazo?Huko FACEBOOK NI LIJAMBAZI LINATUMIA PICTURE ZANGU KUWATAPELI ..HATUNA NAMBA NYINGINE ZAIDI YA HII 0673171010..Ogopeni kutapeliwa
21 877 23727
Usiogope kuona dhahabu ndani ya vumbi👌
31 698