Activity Report

Stevenson (Babyboy mApozy)
Stevenson (Babyboy mApozy)
@stevenson255_
Followers: 9,859Posts: 501Following: 2,061
Profesional ACTOR|ARTIST Former DFA-Chief of Communication's &Relationship #VUKABODA2018🎤Winner 👑🏆 #IbukaNaCityFm917_2019FINALIST Watch🎵 #NI_YEYE 👇
View all posts from @stevenson255_
Karibu saana tena @thegreatroyale_ 
#thegreatroyalehotelmakambako 

Mh. #josephmbilinyi
@therealjongwe #sugu  #Taita #jongwe

Feel At Home ….,
#thegreatroyale we the home of hospitality 🤝
#ThePrideOfMakambako 🔥

#makambakotown #makambako #njombe #njombetz #mbeya #mbeyacity #hotel #hoteldesderia #hotelsinmbeya  #iringa
#josephmbilinyisugu #mtiti
1 57
Eeh Mungu Baba Muweza wa yote

Twakuomba Uwakumbuke kuwashika Mkono wako wa BARAKA &Kuwaongezea Pale walipo pungukiwa
Wale wote walio tushika Mkono nasi kutubeba kufika hapa tulipo 
Mpaka nasi tukawa watu katika watu kwenye Jamii 🤝

Ameen 🙏

Naitwaga @stevenson255_ ✍️

#TheMarketingDirector
#marketingdirector
#thegreatroyale @thegreatroyale_ 💥
#thegreatroyalehotel #thegreatroyalehotelmakambako 🔥
#makambako #njombe #makambakonjombe
0 18
Kama Kijana unaejitafuta,
Kipao mbele chako kikuu kiwe ni:-

1. KAZI
2. KAZI
3. KAZI

Hivyo vipao mbele vinginevyo vifanye kua ni ziada tu kwenye muda wako wa kila siku,  hata ukigombana &watu kwa Sababu ya u busy wako ila we zingatia USIJE GOMBANA &KAZI YAKO maana Ndio inayokupa Heshima mjini

Naitwaga Stevenson Tz ✍️
Yule Boy Handsome wa Kijiji Cha Mdaula 😋

#TheGreatRoyale 👑  @thegreatroyale_
#MarketingDirector 
#thegreatroyalehotelmakambako 
#MAKAMBAKO #ilangamoto #lyamkena #KITISI 
#makambakonjombe 
#njombe #njombetown #njombemjini #Ludewa #makete #iringa #iringamjini #iringatown #pwani #bagamoyo #Chalinze #MDAULA
4 33
Nipo Njiani Naelekea Nyumbani Kwenda Wauliza Familia na Majirani ni kwa nini walinificha walipo tembelewa na huu Ugeni 🥴🙄🤔😆🚶
0 3
#FursaTIME TANGAZO LA NAFASI MOJA YA KAZI-STATIONARY 

Anahitajika Binti Mmoja Kwa Ajiri ya Nafasi ya Kazi Stationary,
Location/Eneo Ilipo Ofisi-Lyalamu-Mtwango-Mkoani Njombe 

Pendekezo la Ofisi ni Binti yeyote alie tayari wakuanzia Umri wa miaka 18 kwenda juu, 
Kipao mbele cha kwanza ni apatikane wa Eneo husika au maeneo ya karibu na Kijiji Cha Lyalamu, Mtwango n.k 
Lakini Iwapo Atapatikana wa Eneo la mbali basi Ofisi Itamgharamia huduma ya MALAZI & Chakula Pia

Mshahara Ni Maelewano Baina ya Muajiri &Muajiriwa 

NB;- HAPO MBELENI OFISI INATARAJIA KUA NA HUDUMA ZA KIFEDHA (M-PESA, TIGOPESA n.k) 
HIVYO BASI TUNAHITAJI MTU MUAMINIFU, MUADIRIFU & GOOD CUSTOMER CARE 

Kwa Mawasiliano zaidi tafadhari PIGA SIMU Au Tuma WASIFU WAKO 
0719 041 205 

Zingatia MAELEKEZO Uliyo Ambiwa,
Maswali Maswali yasiyo na msingi Inbox 📥  au WhatsApp SIYAHITAJI Tafadhari ✍️ 

Naitwaga Stevenson Tanzania ✍️ 
YULE BOY MTOTO WA KIKWERE 🚶 

#Stevenson #StevensonNaFursaZake #NifuateMIMI #MichongoPoint #FursaZone #FURSA #fursakwavijana #fursakwawote #AJIRA #AJIRADIGITAL #ajirapublic #ajiratanzania #kazi #kazikazi #stationeryshop #stationary #binti #MAKAMBAKO #mtwango #njombe #iringa #tanzania #songea #ruvuma #mbeya #Rukwa #katavi #MkwereMmoja #MtotoWaKikwere
0 0
Heeeh tena 😳
0 0
0 1
Nimelala usiku mzima Nimemkumbatia,

Basi ye si Akadhani Ndio Anapendwa aah 👩‍❤️‍💋‍👨 Asijue Mwenzie Kumbe  Nimefanya kusudi tu Kumshikilia hivyo Asije Akaiba Vitu vyangu maana hawaelewekagi hawa Weeeeh 😂😂😂 🏃‍♂️
1 4
Naam Naam Wapendwa Wateja Wetu wa THE GREAT ROYALE 👑 HOTEL-MAKAMBAKO 🔥 

Kwa sasa Tumewaletea Rasmi huduma ya MAZIWA YA NGAMIA,
Kwa Gharama ya Tsh 2,000/= tu Kwa Kikombe
Na huduma Hii ni Endelevu na Inapatikana Hapa Hotelini Kila Siku, 
Karibu Saana Ujipatie Maziwa haya Bora Kabisa Yenye Virutubisho Vingi Kiafya Mwilini

Kwa Maelezo & Maulizo Mengi zaidi Tafadhari Waweza Tupigia Simu Moja Kwa Moja +255 763 048 068
Kuweka Order yako Mapema Na Usipitwe na Huduma hii pendwa 

THE GREAT ROYALE 👑 
Tunapatikana Mtaa wa Ilangamoto, Kata ya Lyamkena Halmashauri Ya Mji Makambako Mkoani Njombe,  Nyanda Za Juu Kusini Mwa Tanzania 

Tufuatilie Kwenye Mitandao ya Kijamii @thegreatroyale_ ✍️

THE GREAT ROYALE 👑 
THE HOME OF HOSPITALITY & We are the best in Town 🤗

#thegreatroyale #thegreatroyalehotel #thegreatroyalehotelmakambako #thegreatroyalehotelmakambakonjombe #MAKAMBAKO #njombe #iringa #iringatown #iringatanzania #MAZIWA #maziwayangamia #ngamia #camels #camelmilk #hotel
2 3
THE GREAT ROYALE HOTEL-MAKAMBAKO 
Tunawatakieni nyote heri ya Sikukuu ya Saba Saba 
7-7

@thegreatroyale_

#TheGreatRoyale 
#TheGreatRoyaleHotel 
#TheGreatRoyaleHotelMakambako 
#TheGreatRoyaleHotelMakambakoNjombe
#TheGreatRoyaleRestaurant  #hotel #MAKAMBAKO #Njombe 
#sikukuu #sikukuuyasabasaba 
#SabaSaba #sabasaba2025 #lyamkena #ilangamoto
0 13
😭🥹🤦‍♂️ Kama Ni hivyo Basi Tanzania yangu Masikini Tupo wengi saana kwa kweli 

Wakati kuna Watu Inapita Hata Week Hajatumia Walau 3000 - 5000 na ni jambo la Kawaida Kabisa Kwao 

Mtuulize Sisi 😔🚶‍♂️
0 3
Tanzania yangu Huu Mwezi Ni mwendo wa Matukio tu Kila kukicha Asee, 
Mara Ajari, Mara Matukio ya kuuana n.k, 

Huko Geita Kijana Kauawa Kikatili Aisee Mpaka Mtu unaogopa huko Mtaani Ukiamka na Kuingia Kulala salaama una shukuru Mungu 😭🥹

Ndugu zanguni TUSALI 🙏
0 9