Activity Report

Tunda Man
Tunda Man
@tundamantz
Followers: 1,436,681Posts: 3,385Following: 250
East African Musician 🇹🇿 Booking :Tundamanmusic@gmail.com New Audio Asinah 👇👇 https://youtu.be/MHINuqKqsZs?si=ZiTMIOXlVSwxnc2K
View all posts from @tundamantz
Simba day mwaka huu jiandae mdogo wangu @dogo.paten maaaaana mi ntakuwa jukwaaani nakuangalia
30 august #savethedates
32 3339 31024
Tar 30 august #savedate❤️ #lecapitanosound
30 1503
Tajiri inatosha sio kwa wachezaji hawa hii ndio simba tuliyokuwa tunaiota miaka yote…. Nimekupa jina la champion sijakosea now magoma ya simba watayaskia sana hii inaitwa staki mazoea na ukiamua kufamya wanajua ndio maaana wanakupiga vita…wanasimba @moodewji ndio furaha yetu na mi pia nawaaahidi mwaka huu ni kicheko tu sio kwa usajili huu …..wanasiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiibaaaaaaaaaaaaaaaaa!

#LECAPITANOSOUND TAR 30 AUGUST
1037 26229
Chilling with my bro from another mother @mbwana_hungura singida moja ila yeye ni Utopolo tu ndio shida yake…ila sura tumefanana si ndio ……..?
46 2327
Ukiona zabibu ujue upo Dodoma!!!!
13 313 5031
Zamu ya IKUNGI Kwanza mnabahat sana ikungi kwa kumpata mkuu wa wilaya ambaye ni mchapakazi na ni mtu wa watu sana hongera sana @tomapson mwenge unakuja tar 23 miradi na maendeleo ya ikungi pongezi zenu but kwenye mkesha wa mwenge ntakuwepo le capitain of bongo flava tanzania kuwapa burudani wana ikungi…. Maswali ya bala conte na shabalala msiniulize plz ntajibu ya mpanzu tu….
27 506
Usajili wetu wa msimu ujao semaji kama semaji 
#mangungu mitano tena ..
418 5727 73643
#simbaday
50 1345
Jana na leo …. #ngunguwanaman…
17 961 14172
Kiongozi aliyesema wewe hutoi hela wakati umetoa unaendelea kutoa na utatoa  ni nani?
Wanachama wa simba hawapo pamoja kuna mkanyagano mkubwa sana  na mwenyekiti wa wanachama amekaa kimya  mwenyekiti wa bodi fanya kitu ili huku kwa mashabiki na wanachama tuwe kitu kimoja kama slogan yetu ya nguvu moja …
274 7872
TUNDA MAN AME SHOW LOVE KUBWA BAADA YA KUMPANDISHA SHABIKI JUKWAANI NA KUIMBA NAE#singeri
50 2831 93537
“tatizo
la kuwapa binadamu kipaumbele kwanza, unawafundisha kukufanya wewe wa mwisho ..’
59 2868