Activity Report

WASTARA JUMA
WASTARA JUMA
@wastara84
Followers: 1,842,241Posts: 540Following: 3,435
Movie Actress AMBSDR of |WOMEN IN AFRICA /ASOV STOCKHOLM| & KZG mobile phone FOUNDER @wastarabeauthouse @wastarafoundation FOUNDER of "ANZIA HAPA"
View all posts from @wastara84
183 656 21254
2 7 2032
Tupigie kwa nambari 0710757401
2 6 1513
Shukran sana Mmenipa nguvu sana kwa ujio wenu mmenifanya nimekaa Kitano muda mrefu mmenifanya nicheke kitu ambacho jwangu ni gharama kubwa sana kwasasa kuniona nacheka japo kuugua sio kufa I belv one day nitarudi kwenye afya yangu na kuendelea na pilka zangu  na watu wangu watoto wangu na watoto wangu yatima  52 watarudisha tabasamu kikubwa niombeeni tu hiyo inatosha sana kwangu kusimama tena
0 4539 216780
kheri ya kuzaliwa mtoto mzuri mwema mstaraabu usiependa makuu mtoto wangu wa kwanza uliyenifungulia mlango wa mimi kuitwa mama nakupenda sna
token nimeanza kuumwa leo ndio nimecheka sana wallah mwenye part yake aliyevaa nguo ya blue @samjay20
50 1123 68115
PART 4

DAWA NDIO CHAKULA CHANGUKIKUBWA
SITAACHA LIPITITE NIKIWA HAI NITAPAZAA SAUTI
YANGU ILI MRADI ISIKIKENA MADAI YANGU YACHUKULIWE HATUA MIM NI MTANZANIA NA NINA HAKI YA KUHITAJI MSAADA KWA VIONGOZI WA SELKALI HASA PALE NINAPOSHINDWA KUTATUA TATIZO KWA NGUVU ZANGU NINAOMBA SAPOT YENU WATANZANIA NA SIO KUNISEMA VIBAYA HAIJALISHI MARA NGAPI NAHITI SAPOT YENU KIKUBWA KUWA NIMEWAFIKISHIA JAMBO LANGU MKIPAZA SAUTI LAZIMA NITALIPWA TU NA ITAKUWA NJIA MOJAWAPO YA KUNIOKOA NA KUNITOA HAPA NILIPO SASA
NIKO MWENYEWE NIKO PEKE YANGU TU WENZANGU NI NYINYI NINACHOHITAJI NI HAKI YANGU TU NDIO MAANA NIMEMUOMBA RAIS SABABU NIMEPITA SEHEMU MBALIMBALI SIKUPATA SAPOT NDIO MAANA NIMEAMUA KUOMBA MSAADA WA WAZI KWA RAIS  WA TANAZANIA SAMIA SULUHU HASAN @samia_suluhu_hassan @wizara_sanaatz  WATANZANIA MKIAMUA MNAWEZA NAAMINI HILO KUTOKA KWETU NARUDIA NINADAI KAMPUNI YA SIMU IMENIDHURUMU MIM NA BINTI YANGU
SAUTI YA SELIKALI YANGU NA SAUTI YA WATANZANIA WENZENGU ZINTOSHA KUNIINUA HAPA NILIPO
NAWAOMBA SANA
266 912 67019

70 641 52645
PART 2

  https://www.instagram.com/reel/DJra8OqiBXU/?igsh=MWVkZjhnbnhiNjRuaQ==
27 387 42655

91 1256 77279
MHESHIMIWA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN
bado naendelea kukuomba ombi langu lile utashangaa ulituwekea mikopo kwanini sijaenda kukopa ili nimalize kesi yangu
Lakini kuna wasanii mpaka leo wana mwaka wa pili wanafuatilia mkopo hawajapata  ikiwemo mim mabadiliko yanatokea kilasiku uko kwenye sectar ya mkopo inawezekana labda ni kati ya wasanii dhaifu ndio maana ama nini sijui niilichoka nimeacha kufuatilia kuhusu madai yangu nimefika wizarani dodoma na nimefika kwenye bodi ya filam nimefika kwenye vyama vyetu vya sanaa kote huko mim mtanzania maskini sana lakini ni mpambanaji na ninapenda sana kujitolea kwa vitendo na maneno ya kutia ujasili kwa wenye shinda na wasio na shida hii ishu ya kesi nilialika wasanii wenzangu wengi tu na walikuja nilialika waandishi pia walikuja hiyo siku ya kutangazwa rasmi ubalozi wa hiyo kampuni ya simu KZG lakini hata hao wasanii walidanganywa walipewa ahadi wakija watapewa smart  phone wakapewa vitochi niliumia sana na naliona baada ya kuwa nimeshasain mkataba wao kinachoniuma zaidi ameshiriki binti yangu kuitangaza hizo simu  kwa kutumia picha zake akiwa binti wa miaka 5 siku ya kupiga picha alipasuka kidole tukiwa kwenye kupiga picha na bado alijikaza ili kuendelea kupiga picha za simu za hao mafisadi 
wachina walitutumia wakatutapeli mimi wastara juma mtoto wangu farheen juma na aliyekuwa. meneja wangu bond bin sinan
MAMA nakuita na  kama mwanao kesi yangu imekosa msimamizi jasho langu na la binti yangu linapotea hivi tukiwa hai pia afya yangu sio nzuri kivile
Nahitaji msaada wako plspls🙏🙏🙏🙏😭😭😭
0768666113
48 435
MHESHIMIWA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN
bado naendelea kukuomba ombi langu lile utashangaa ulituwekea mikopo kwanini sijaenda kukopa ili nimalize kesi yangu
Lakini kuna wasanii mpaka leo wana mwaka wa pili wanafuatilia mkopo hawajapata  ikiwemo mim mabadiliko yanatokea kilasiku uko kwenye sectar ya mkopo inawezekana labda ni kati ya wasanii dhaifu ndio maana ama nini sijui niilichoka nimeacha kufuatilia kuhusu madai yangu nimefika wizarani dodoma na nimefika kwenye bodi ya filam nimefika kwenye vyama vyetu vya sanaa kote huko mim mtanzania maskini sana lakini ni mpambanaji na ninapenda sana kujitolea kwa vitendo na maneno ya kutia ujasili kwa wenye shinda na wasio na shida hii ishu ya kesi nilialika wasanii wenzangu wengi tu na walikuja nilialika waandishi pia walikuja hiyo siku ya kutangazwa rasmi ubalozi wa hiyo kampuni ya simu KZG lakini hata hao wasanii walidanganywa walipewa ahadi wakija watapewa smart  phone wakapewa vitochi niliumia sana na naliona baada ya kuwa nimeshasain mkataba wao kinachoniuma zaidi ameshiriki binti yangu kuitangaza hizo simu  kwa kutumia picha zake akiwa binti wa miaka 5 siku ya kupiga picha alipasuka kidole tukiwa kwenye kupiga picha na bado alijikaza ili kuendelea kupiga picha za simu za hao mafisadi 
wachina walitutumia wakatutapeli mimi wastara juma mtoto wangu farheen juma na aliyekuwa. meneja wangu bond bin sinan
MAMA nakuita na  kama mwanao kesi yangu imekosa msimamizi jasho langu na la binti yangu linapotea hivi tukiwa hai
Nahitaji msaada wako plspls🙏🙏🙏🙏😭😭😭
0768666113
62 670
Habari na heshima yako mheshimiwa rais wa jamhuri wa Muungano Tanzania
Mheshimiwa samia suluhu hassan q Saw
Naitwa wastara juma issa mim ni mtanzania halali kabisa katika nchi yangu hii ya tanzania ya aman yenye bendera ya rangi za kuvutia bila doa jekundu
Mama mim nina madai na kampuny ya simu kutoka china tokea 2016 mpaka leo sijapata haki yangu kampuni hii ilisain mkataba na mim wa ubalozi wa miaka 2 wa kupromot simu  zao aina 5 na kila aina moja ya simu nilikuwa nalipwa asilimia 10 kwa mujibuu wa mkataba
Mama ninahitaji msaada wako wa haraka katika hili sababu ya vitu 2 cha kwanza ni afya yangu cha pili ni kituo cha watoto yatima 52 walifukuzwa kwenye kituo nilichojitolea kukisaidia miaka 3 iliyopita kituo hicho kipo kimamba wilaya ya kilosa mkoani Morogoro nikiwa na babu yangu Abdulaziz salah  nilkifahamu hicho kituo tokea 2010 nikiwa mtoa msaada wa kawaida tu
Watoto hawa karibu wote kwasasa wameacha shule watoto wa kike kuanzia umri wa miaka 12 wanabakwa na kolewa kinguvu sababu hawana pa kukimbilia ninahitaji kuwapatia hifadhi kupitia jasho langu nitakalolipwa na kampuny ya sim ya wachina
 Afya yangu inaweza kufanya nikashindwa kulitimiza hili nikafa kabla sijateleza ndio maana nimeomba msaada wa haraka ili kuwanusuru hao watoto yatima wanaodharirika sasahivi mitaani
Nina mengi sana ya kusimulia ila kwasasa naomba msaada kwa haya tu mambo mawili
La kwanza kulipwa haki yangu la pili ni watoto yatima kutendewa haki kwa ukatili waliofanyiwa kufukuzwa na kuachwa mitaan kama wanyama nahitaji msaada wako nimepita kwingi kwa ajili ya kesi yangu ila nimeshindwa kupambania watoto yatima sababu sina silaha za kuwapambania
NINA MATUMAINI NA WEWE MHESHIMIWA
0768666113
9 140