Activity Report

Janjaro
Janjaro
@dogojanjatz
Followers: 6,381,180Posts: 6,850Following: 5,595
@quenlinnatotoo’s husband The Real BuddahBoss!
View all posts from @dogojanjatz
Dear Son,

❤️ 

📸: @sakshed
217 31707
Allahmdulillah 🙏🏼🎉 My lovely little champ has arrived! 

Thank you @quenlinnatotoo ❤️ Am proud of you! 

📸: @sakshed 
Mua: @makeupbyeddie_ 

15.11.2023 🎉🥂
2233 133862
Janja Wana Man Na @chino_kidd7 kashabariki #KilimanjaroChallenge ila chino🔥🔥🔥🔥🔥 🙌🏼🙌🏼🙌🏼

#Kilimanjaro Link On Bio
486 32275 574412
Hii si picha ya kumbukumbu, ni tiketi ya kesho iliyojaa hewa safi na matumaini, Leo tumeandika historia kwenye ardhi ya elimu, Mti umepandwa 🌲 Shule ya Msingi Ngarenaro, pamoja na Mkuu wa Wilaya Longido Mhe. Salum Kali, Kijana wa leo si mtazamaji, ni mshiriki wa mabadiliko. #VijanaNaMazigira #NgarenaroNiYetU #DogoJanjaNgarenaro2025
25 2407
Tunafungua kurasa mpya ya kitabu cha familia na maono yenye tija ni furaha tele kwangu na familia mpya hii 😍🫶🏽 upendo umejaa moyoni furaha na fanaka nyingi usoni
Nawashukuru wote mlioshiriki nami kwa namna moja ama nyingine tunawapenda sana #wedding  @_oneecha
62 1417 25495
Safari imeanza rasmi , Hongera sana bro, maisha yenu yajazwe amani na upendo wa kweli #YuzzoWedsZena @yuzo_mnene @zena_model #Wanakamati 🫡
49 12813
Hata safari ndefu huanza na hatua moja, Just start💪🏼 

Suit: @marafikisuits
139 9326
Sauti yangu si ya kawaida, ni sauti ya Ngarenaro. sauti ya kesho njema. 🗳️💚 #DogoJanjaNgarenaro2025
36 1017
Nguvu ya kweli haiko kwenye mali bali kwenye upendo, umoja na mshikamano.. tukishikana, hakuna lisilowezekana #DogoJanjaNgarenaro2025
63 6045
Utulivu ni nguvu isiyoonekana, lakini ina uwezo wa kugeuza maisha.. 

#DogoJanjaNgarenaro2025
63 3617
Mti kando ya mto. #DogoJanjaNgarenaro2025
82 6207
Jana kwenye mkesha wa Mwenge wa Uhuru, tulipaza sauti si kwa burudani tu, bali kwa ndoto na fursa kwa vijana wetu. Naamini jamii yenye mshikamano, upendo na matumaini inaweza kuinua kila kijana kufikia uwezo wake wa juu. Ngarenaro, pamoja tunaweza. 💚🇹🇿 @kenanikihongosi @rc_mkoa_arusha @mkude458 @kayombojohn @jajujacob #MwengeWaUhuru #Ngarenaro #DogoJanjaNgarenaro2025 #VijanaNaFursa
107 4318 38885