Activity Report

Fareed K Kubanda
Fareed K Kubanda
@therealfidq
Followers: 1,441,358Posts: 133Following: 1,087
The Top Of Rap’s Elite
View all posts from @therealfidq
Acha inyeshe.. tuone PANAPOVUJA!! 

 @ukooflani_ndiohii 📌📌 

🇹🇿 🇰🇪
64 3409
Shirikisho la Muziki Tanzania 

SALAMU ZA PONGEZI

KWA COSOTA NA SOMA

Shirikisho la Muziki Tanzania linatoa pongezi za dhati kwa COSOTA kwa hatua muhimu na ya kihistoria ya kutoa leseni ya kukusanya mirabaha kwa Society of Music Advocacy (SOMA).

Mmetekeleza jukumu hili kwa ufanisi mkubwa, na tunawapongeza kwa kazi kubwa mliyofanya katika kulinda na kusimamia haki za wasanii wa muziki nchini.

Tuna imani kubwa na SOMA ambao wana wadau wenye weledi na uzoefu na mkubwa kama vile FID Q na Hermy B, tunawatakia kila la heri SOMA katika utekelezaji wa majukumu yao, tukiwa na imani kubwa kwamba mtasimamia kazi hii kwa uadilifu, uwazi, na kwa manufaa ya wanamuziki wote.

Kwa niaba ya wanamuziki wote na wadau wa muziki nchini, tunasema: Hongereni sana!

Addo November Mwasongwe
Rais – Shirikisho la Muziki Tanzania (SHIMUTA)
Dar es Salaam
Tarehe: 24 Julai 2025

@therealfidq 

@cosotatanzania 

@hermyb 

@wizara_sanaatz 

@addonovember 

@gersonmsigwa

@victor_tesha
12 3
Ofisi ya Hakimiliki Tanzania leo tarehe 23 Julai 2025 imetoa Leseni ya kukusanya na kugawa mirabaha katika daraja la Kazi za Muziki nchini. Kampuni iliyokidhi sifa na vigezo vya kupewa Leseni inaitwa Society of Music Advocacy Limited (SOMA) @soma.tanzania ambayo itaanza kazi ya kukusanya na kugawa mirabaha kwa kipindi cha mwaka mmoja kuanzia mwezi Julai 2025 hadi Juni 2026 na COSOTA itaendelea kuwa Msimamizi wa Kampuni katika utekelezaji wa kazi za CMOS.

Aidha, Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu na Msimamizi wa Hakimiliki COSOTA @cosotatanzania Ndugu Philemon Kilaka aliitaka Kampuni ya SOMA kuanza kazi ya ukusanyaji wa mirabaha kwenye maeneo yote ambayo yanatumia kazi za Muziki kama Hoteli,Baa Migahawa, Kumbi za Starehe n.k na katika utekelezaji wake Kampuni imeaswa kusimamia ukusanyaji kwa kuzingatia Sheria na Kanuni za Hakimiliki na Hakishiriki Ukusanyaji (Kampuni ya Ugawaji wa Hakishiriki Ukusanyaji (Kampuni ya Ugawaji wa Mirabaha) ya mwaka 2023.
23 848
56 1545
Heri ya siku ya kuzaliwa my brother Prof Kessy @kaalamotokiumbe 

Kwenye stock tuna vitu.. pengine huu ni muda sahihi wa kuwapa watu elimu yenye ladha! Zingatia neno ELIMU yenye LADHA📌
51 2050
ALHAMDULILLAH 🙏🏾
70 2445
Huyu NYAU kanitumia hii picha kisha akaniuliza.. “ Fidi Kyu vipi mbona PICHA kali ya zote haujapost!!? Au una chuki!? 

Ikabidi nimjibu kwa kumuuliza.. CHUKI!? Hii hii tuliyoiongelea kwenye hiki kibao kilichomo ndani ya ALBUM mpya ya  @jidejaydee !!?? 🤷🏾‍♂️
81 4573
Vibe So Loud..
122 5054
📌
138 6534
Nani akae kwenye KIITIKIO!!?? 

#VibeSoLoud

Produced by yours truly @ Cheusi Booth 

#KitaaREJEX 70% loading

#temporarypost
522 2233 23760
NGOSHA… 📌

Wewe unaniita jina lipi?
245 9433
BONGO HIP HOP to the world..!! 📌

Cc @brela_tanzania @cosotatanzania @basata.tanzania @mex.tz @pmawenge @majani187
76 4854