Activity Report

TZ HIPHOP/RAPPER
TZ HIPHOP/RAPPER
@staminashorwebwenzi
Followers: 1,360,331Posts: 1,724Following: 222
C.E.O OF @paradisemusictz C.E.O OF @mbuzi_wa_shorwe
View all posts from @staminashorwebwenzi
Haya MOROGORO mlimtaka mdogo wenu huyu @samonne_official 

Nawaletea hapo @samakispotmorogoro muimbe nae tarehe 01/08/2025

Waambie wenzako tunakiwasha kwa elfu 10 tu hapo

Tujazane hapo kwa wingi

#NAITWAMOROGORO💪
14 720
Kwenye stage siku hiyo HIP HOP itakua mikono salama kabisa chini ya mtu mbaya @toxicofficiall_ 

Wale wapenzi wa hip hop tutakua nae pale SAMAKI SPOT

tukutane hapo tarehe 01/08/2025 siku ya ijumaa,kwa kiingilio cha elfu 10 tu.

#NAITWAMOROGORO💪
12 290
Nimepata zawadi ya verse kubwa kutoka kwa kaka mkubwa @staminashorwebwenzi hili hapa pande la rap kwenye I gat u enjoy alafu mtuambie litoke lini..
Cc @amneychilumba 

🎥 @jmaxx._
602 20866 156836
Baada ya kesho mtu mfupi @kibwana_shomari kupigwa na pimbi mwenzie @denis_nkane 😁,nitakua nae wiki ijayo pale morogoro!!

Meza za v.i.p ni ndefu kidogo acha tuone atakaaje pale samaki spot😁

Chonde chonde usitolewe manundu ukatuharibia show kaka!!

Kiingilio ni elfu 10 tu,tukutane tarehe 01/08/2025

#NAITWAMOROGORO💪
9 537
Hom boi @stanbakora_ nae ni miongoni mwa watu wa v.i.p ambao watakuwepo katika show yetu!!

Love kutoka kwa wanangu ni kubwa mnoooo🙏

Tukutane tarehe 01/08/2025,samaki spot kwa elfu 10 tu!!

#NAITWAMOROGORO💪
8 205
Hom boy @twaha_kiduku nae atakuwepo pale samaki spot v.i.p kabisa kuangalia show ya mwanae!!

Kwa kiingilio cha elfu 10 tu

Tukatane tarehe 01/08/2025

#NAITWAMOROGORO💪
10 312
Show bila dj hakuna show,huyu hapa @ankochoka kwenye mashine!!

Mbali na akina @djhunter__news dj a.k.a mluguru wa kiarabu,mtu mbaya @ankochoka atakuwepo moro kuhakikisha unaenjoy💪

Tukutane morogoro,samaki spot,tarehe 01/08/2025 kwa elfu 10 tu

#NAITWAMOROGORO💪
14 255
Ukiachana na hom boy wangu @nanga_og kuwepo morogoro,kichaa wangu mwingine huyu hapa @shafii_brand nae atakuwepo morogoro kutoa support yake!!

Hip hop+comedy💪

Tukutane hapo samaki spot morogoro,tarehe 01/08/2025 kwa elfu 10 tu.

#naitwamorogoro💪
26 1297 9989
HAYA YANAZUNGUMZIKA @staminashorwebwenzi TUKUTANE MOROGORO
TAREHE 1/8/2025 pale @samakispotmorogoro 

Voice by @actor_mike
43 2796 31741
Maelekezo yamenyooka,asanteni wasanii wote mliokubali kunipa support kwenye hii show @gnakowarawara @billnass @yammitz @linahafrica @officialkpizo 💪

Salute nyingi pia ziende kwa sponsors mlionishika mkono @smartgin_tz @jambogroup @talatala_lounge @aboodbustz @chicho_display_doctor 

Tukutane samaki spot,tarehe 1/8/2025 kwa elfu 10 tu.

#naitwamorogoro💪
33 608 5982
Nawajua WALUGURU bila SINGELI hapakaliki kabisaaaa!!

Haya nawaletea huyu hapa mtu noma kabisa @officialkpizo 

TUKUTANE SAMAKI SPOT,TAREHE 01/08/2025 KWA KIINGILIO CHA ELFU 10 TU.

#NAITWAMOROGORO💪
35 2194
MOROGORO BILA NDEGE MNANA?HAPANAAAAAA!!

huyu hapa mwanangu kabisa @linahafrica 

Ndio msanii pekee ambaye situmiagi nguvu nyingi kumwambiaga mambo yangu maana ni familia kabisaaaa✊️

Tukutane samaki spot,tarehe 1/8/2025 kwa kiingilio cha elfu 10 tu

#NAITWAMOROGORO💪
9 379