Activity Report

NENGA MAFIOSO
NENGA MAFIOSO
@billnass
Followers: 6,048,960Posts: 1,494Following: 1,124
NENGATRONIX Snapchat/twitter 👉🏾@bill_nass CEO: @nengatronix For Booking: billnass16@gmail.com HOW COME ??👇👇👇
View all posts from @billnass
Siku Ya Jana tumefanikiwa Kuhitimisha Season One ya @chuokwachuo_bynenga Kwa Mafanikio Makubwa…. CHUO KWA CHUO Imeweza Kutoa Semina, Burudani na Kuvumbua Vipaji katika vyo mbali mbali, pia tumetengeneza Muunganiko na Umoja kwenye Vyuo Tuvyoshirikiana Navyo…Pia limekuwa Jukwaa Linalotoa Fursa Sawa Kwa Wasanii Ma Dj na Dancers ‼️ Tungependa Kutoa Shukran zetu za Dhati kwa Wizara Ya Elimu…Vyuo Vikuu na Colleges zote Tulizoshirikiana, Serikali za Wanafunzi pamoja na @tahliso_official , Wizara Ya Sanaa pamoja na Walezi Wetu @basata.tanzania Kushirikiana Nasi , Pia kipekee nitoe Shukran kwa @wasafifm @wasafitv na @diamondplatnumz Kwa Kutupa Media Coverage Kubwa na Kushirikiana kwenye Kila Hatua, Pia Nitoe Shukran kwa Wasanii Wenzangu Wote Ambao Kwa Moyo wao Wote Walijitoa Kuhakikisha tunawapa Burudani wanafunzi na Chuo kwa Chuo inaweka Historia 🙏🏿🙏🏿🙏🏿 Wako wasanii Wengi ama karibia wasanii wote mmeshirikiana na Sisi kwa Kutupa Moyo, Ku perfom, Kutoa Idea,Kutoa pongezi na Kuhakikisha tunajenga pamoja… Mwenyezi Mungu awabariki sana ‼️ pia  shukran zetu za Dhati kwa Team Nzima iliyoshiriki kuhakikisha jambo hili linatokea kwenye wazo na linatekelezeka @askofutza @docta_ulimwengu @mycoiam & my one n only @officialnandy Haikuwa Rahisi hata kidogo… pia shukran za dhati kwa @nengatronix @suluhuyamtaa @afmradiotz @instantpayment.tz @urban_megastore @darcitybasketball  @fireworks_tanzania @magicalpro_sounds255 @magical_studio255
155 7407 134198
Anniversary Mode 🦦 #HOW COME ‼️ ETI NANI KAUA SANA HAPA ???
233 3 383784
H O W COME 🔉 LIMETOKA RASMI KWENYE DIGITAL PLATFORM ZOTE…. @jaivah X @s1rholly TUKUTANE MABATANI LEO 🔥🔥🔥
366 18753 150700
HOW COME HATUNA PESA 😛😛

🎙 @billnass x @jaivah x @sirholly 

🎶 #howcome 

Dc @montana__momo 

#dancechallenge #dance #nengatronic #trending #viralpost❤️
34 251 4021
Sasa Mbona wanaletaa tolilooooo wahuni tuna salioooo 🔥🔥☠️☠️ 
@billnass @s1rholly @jaivah 
#howcome #howcomechallenge
7 3 11790
UKIACHANA NA DOGO REMA…DOGO TRAVIS SCOTT PIA NILIKUWEPO…. MGANGA MUNGU MITI SHAMBA IMANI 🏟️ @chuokwachuo_bynenga
153 8354
THANK YOU DAR ES SALAAM 🙏 @chuokwachuo_bynenga @billnass PRODUCTION CREW

SHOTS BY @thisispizo DRONE BY @baba_nahya1 , @momostudios16 

EDITOR @gzzieeeeee
25 3575 103510
How come ni 🔥🔥🔥🔥🙌🙌

@billnass 
@s1rholly 
@jaivah
17 2429 35558
HILI GOMA  MOTO🔥 SANA HOW COME CHALLENGE ACCEPTED ✅️

🎙@billnass x @jaivah x @s1rholly 

Dancer’s By @washamba__ 🇹🇿

Dc By @montana__momo 🫡

🎥 By @incredble__cappy

#howcomechallange #billnass #nenga #tanzania🇹🇿 #dancechallenge #reelsinstagram #viralvideos #trending #challenge
26 941 15744
THANX A LOT DAR ES SALAAM ‼️ @chuokwachuo_bynenga NA SASA NI SAA KUMI NA MOJA KASORO BADO TUKO PAMOJA…. NIKIKUMBUKA NAMNA BAADHI YA VYUO VILININYIMA ENEO KWAJILI YA KUFANYA SHOW….LICHA YA KUTUMA MAOMBI MWEZI MZIMA…NA KUSABABISHA TUMEFANYA MATANGAZO YA SIKU TATU TU!! NISEME PIA SHUKRAN ZA DHATI KWA VYUO VYOTE VILIVYOTUUNGA MKONO….NEXT SEASON ITAKUWA KUBWA ZAIDI ‼️ LENGO SIO KUBURUDISHA TU LAKINI TUNATAKA KWENDA KUWEKA ALAMA KWENYE VYUO VYA ELIMU YA JUU…KWENDA KUBORESHA HOSTEL,MAKTABA NA VIWANJA VYA MICHEZO PAMOJA NA KERO NYENGINE MBALI MBALI KWA KUTUMIA JUKWAA LA CHUO KWA CHUO KUPAZA SAUTI…PIA SEMINA ZA UJASIRIAMALI NA KUJENGA FIKRA MPYA ZA UWEKEZAJI NA UTEKELEZAJI BAADA YA MAISHA YA CHUO…. #CHUOKWACHUO
106 9338 136120
HAYA SASA HAYAWI HAYAWI SASA YAMEKUWA WATU FUDENGE SEMENI TENA MARA OOH MVIVU WA KULIMA MVIVU WA KUKATA MKAA LEO MMEYAONA @dogo_rema255 to the world 🌎 
Powdered by @b_one_coach
5922 66492 698611
VYUO VYA DAR VIMETAPIKA VIWANJA VYA TIA WOOOOOOOW LEO NDO FINAL AM SO PROUD OF YOU GUYS! SINDO TUNAFANYA KAMA NI AFTER PARTY YA ANNIVERSARY 😛! KAMA HUJASOGEA BAAAASI WAHI MAPEMA SANA MAANA KUNA SUPRISE NYINGI MNO!
583 96797